Recent content by kitanguz

  1. kitanguz

    Kuku aina ya kuroiler.

    Itakuwa hivyo bwana sio mm huyo aliyeku pm hizo ndo bei zangu
  2. kitanguz

    Kuku aina ya kuroiler.

    Hapana bwana mm nipo hapa hapa dar es salaaam
  3. kitanguz

    Kuku aina ya kuroiler.

    Hapana hujani pm mm nauza kuku mkubwa 12000 mdogo wa mwez 4500
  4. kitanguz

    Kuku aina ya kuroiler.

    Waambie
  5. kitanguz

    Kuku aina ya kuroiler.

    Boss vp tena jamaa yangu umeviona wap tena
  6. kitanguz

    Kuku aina ya kuroiler.

    Boss mbona umepanga bei mm sijasema
  7. kitanguz

    Kwanini wanaume wengi ni waoga kuoa wanawake wazuri lakini wako tayari kuwafanya wapenzi wa pembeni?

    Wachache mkielewana hata awe mzur sana poa tu japo uzuri wa mwanamke ni tabia tu
  8. kitanguz

    Changamoto za maisha ktk mapenzi

    Hilo nalo neno!!!
  9. kitanguz

    Kuroiler wanauzwa!!

    Kwa wafugaji wa kuku njoo pm kuku bora kabisa aina ya kuroiler wanapatikana na ushauri wa kitaalam unapatikana bure kabisa ni kuku chotara wa mayai na pia ni wazuri na watamu sana kwa nyama..wanauzwa wa mwezi mmoja Asanteni
  10. kitanguz

    Changamoto za maisha ktk mapenzi

    warembo ni wengi ila kumpata mwenye mapenzi ya kweli na anayefaa kuwa mke mwenye kujitambua imekuwa balaa!!!!
  11. kitanguz

    Kuku aina ya kuroiler.

    Wanauzwa kuku vifaranga vya mwezi mmoja.kuku aina ya kuroiler wanauwezo mkubwa wa kutaga mayai pia niwazuri na watamu kwa nyama wnauzito mkubwa kuanzia kilo mbili nakuendelea ndani ya miezi mitatu tu ni kuku wazuri na nyama yao ni tamu sana wanapatikana kwa order kila mkoa ukiwahitaji njoo...
  12. kitanguz

    Natafuta mume

    Jaman ivi dunia hii utapata ambae hajatumika kama unataka mke apply tu
  13. kitanguz

    Natafuta mume

    Tukuone kwanza picha pm itapendeza!!
  14. kitanguz

    Kwanini nyie wana JF mnatudharau sana wanaume wa Dar?

    Ha ha ha ha ha haaaa atariii shida chips yai na broilers
Back
Top Bottom