Recent content by kitangiri

  1. K

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole live Channel Ten: Urais katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    unachosha akili yako kwenye jambo la kipuuzi kiasi hiki si bora ungefanya jambo lingeweza kukuingizia kipato kuliko kuishi kwa matumaini
  2. K

    JamiiForums Tanzania Habibu Mchange yupo Star TV anaichana CHADEMA

    kwasababu anaongea ukweli ambao masikio yako hayataki kusikia.Chadema is one of the Coward party ever in this earth
  3. K

    JamiiForums Tanzania Habibu Mchange yupo Star TV anaichana CHADEMA

    kwasababu anaongea ukweli
  4. K

    JamiiForums Tanzania Quran ya wakati wa Mtume SAW

    ailiyekwambia imeshushwa kama jiwe nani? imeshushwa kwa maana ya kuletwa kutoka mbinguni kuja duniani kwa njia ya Wahay (hisia/mawasiliano ndania ya mwili wa mtume) na wakati mwingine kuletwa na malaika jibril A.S . Na pindi inaposhuka aya za Quran maswahaba za mtume ma wake zake hushuhudia na...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta: Maajabu ya simu yangu

    unawezaje Ku disconnect camera moja
  6. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta: Maajabu ya simu yangu

    Tafafhalini simu yangu aina ya LG G 3 inazingua Niki connect Internet camera haifanyi kazi nimesha I factory restore inakua kawaida ila uki configure internet camera ina stack haionyeshi tatizo ni nini?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Lembeli: Lowassa naye asafishwe

    wewe una kichwa cha bata inamaana umesahau kuwa muhongo na maswi waliundiwa tume ya uchunguzi ili kujiridhisha?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu Kugombea ubunge Zanzibar kwa tiketi ya CHADEMA

    kwa siasa za kihafidhina Zanzibar Salum Mwalimu atausikia Ubunge kwenye Bomba siku zote Salum Mwalimu alikua akiishi bara kwaiyo kule ataonekama kama pandikizi la watu wa bara.matokeo yake CCM itachukua hill jumbo na ile dhana ya chadema kuikomoa CUF itakua imetimia naaikia harufu ya ccm...
Back
Top Bottom