Recent content by kital

  1. K

    Masikini kaka huyu

    hapo wote wameshakosea kuamua kufunga ndoa bila kujua afya. sio kwamba huyo kaka hakuwahi kuwa na mwanamke kabla ya huyo, pengine hata yeye angeweza kuambukizwa. alimpenda huyo dada, akamuamini kwa tabia zake ndio maana akaamua kumuoa. kuathirika kwa huyo dada haimaanishi kua alikua na tabia...
Back
Top Bottom