Recent content by Kitakuta

  1. K

    JamiiForums Tanzania Fahamu matukio mengi kuhusu Jews (Wayahudi) na hautoamini macho yako

    Vizuri umeuliza swali hili Kidini iko hivi ns nategemea baada ya hii futa huo upotofu uliodanganywa nao, Iko hivi kidini; Waislam- wote sisi ni kwa Mungu na kwake tutarejea. Watu wote sawa mbele ya Mungu. Mwarabu sio bora kwa asiyekuwa Mwarabu. Aliyekuwa bora zaidi katika sisi ni aliyekuwa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Fahamu matukio mengi kuhusu Jews (Wayahudi) na hautoamini macho yako

    Wayahudi ni watoto wa kishetani
  3. K

    JamiiForums Tanzania Fahamu matukio mengi kuhusu Jews (Wayahudi) na hautoamini macho yako

    Yote kweli kabisa. ✅✅✅✅✅✅✅ ✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️
  4. K

    JamiiForums Tanzania Uholanzi kutoruhusu wahamiaji kutoka Mashariki ya Kati kuigeuza Amsterdam kuwa Gaza ya Ulaya

    Mashabiki wa kiyahudi walikuja kuishangilia timu yao kisha wakasahau kama hawako huko kwa nyetanyahu wakaanza uchokozi, kuchokoza Wapalestina. Waarabu sio wao pekee mpaka na wazungu na wengine wakawapa kichapo cha heshma na adabu🤣, Sasa hao wanapiga kelele za nini(?) “ Palestinians have the...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Uholanzi: Waisrael 10 ambao ni mashabiki wa soka wajeruhiwa vibaya na gaidi aliyekuwa akiimba free Palestina

    Watoto wateule walikosa adabu wakatiwa adabu. Waliwachokoza wakazi wakapewa dozi yao. Usiropoke ovyo Ushaidi: 👇🏽 https://youtu.be/2ji6XXHKDxI?si=spWezzhg_qZ0HyGs
  6. K

    JamiiForums Tanzania Uholanzi: Waisrael 10 ambao ni mashabiki wa soka wajeruhiwa vibaya na gaidi aliyekuwa akiimba free Palestina

    Chuki ya kuabudu watoto wateule hiyo. Upumbavu umekufanyeni kulazwa na imaninpotofu 🤣
  7. K

    JamiiForums Tanzania Uholanzi: Waisrael 10 ambao ni mashabiki wa soka wajeruhiwa vibaya na gaidi aliyekuwa akiimba free Palestina

    Miaka 1400 zaidi mpaka leo mlipewa challenge na mpaka leo hata kosa moja halijapatikana. Hata unaweza kuingia ki ushetani kwa kujivalisha kanzu. Wote waliosoma na kuifahamu hawakuwa na budi ila kuingia uislam, uislam ni dini inayokua kwa speed kubwa.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Uholanzi: Waisrael 10 ambao ni mashabiki wa soka wajeruhiwa vibaya na gaidi aliyekuwa akiimba free Palestina

    Ni shetani mtu. Mpaka Mbunge Mzungu mkatoliki wa Ireland nchi ya wazungu anamuombea aingie motoni mkali . Mpaka analia https://youtu.be/H21edCN3Q7c?si=2GzCktClYUTT2nju
  9. K

    JamiiForums Tanzania Uholanzi: Waisrael 10 ambao ni mashabiki wa soka wajeruhiwa vibaya na gaidi aliyekuwa akiimba free Palestina

    Uholanzi ni moja wapo wa nchi shetani tu,
  10. K

    JamiiForums Tanzania Uholanzi: Waisrael 10 ambao ni mashabiki wa soka wajeruhiwa vibaya na gaidi aliyekuwa akiimba free Palestina

    Israel Zionist ni cancer ya dunia. Wamewateka mpaka na huku kuamini wao ndio watoto wateule, kumbe ni wafisadi wakuu na wauwaji wakuu. Hawa mapadri wa kizungu walihongwa hela kusadikisha habari hizo, wateule hao hao hawamuamini Yesu wala ukiristo. Wanamuona Yesu mwanaharamu na mama wa Yesu Maria...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ukirudi kutoka ziarani Marekani na Cuba tuletee zawadi hii: Uwe umejifunza demokrasia ya vyama vingi na uchaguzi huru na wa haki

    Alishasema Mwalimu Nyerere wakati wa uchaguzi wakijindwa kutoa hoja watatumia udini, ukabila, uzanzibari na uzanzibara.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ukirudi kutoka ziarani Marekani na Cuba tuletee zawadi hii: Uwe umejifunza demokrasia ya vyama vingi na uchaguzi huru na wa haki

    Nitakueimisha. Mbunge wa Ireland nchi ya Ulaya iliyo na Wakiristo wa Protestant na Roman Catholic ni nchi inayotetea haki sawa za binadamu wote. Mbuge huyu anamuombea Benjamin Netanyahu aingizwe motoni akifa tena ule moto uliowaka saana kwa sababu kauona ukatili wake wa kupindukiA. Je wewe...
  13. K

    JamiiForums Tanzania My Prediction: Iran's Islamic Republic ikifanikiwa kuwa Nuclear Power House, Next Stop will be Mecca

    Wanafurahi kuleta mfarakano baina ya Waislam iwe divide and rule. Na ndio maana tunaona matokeo haya. Iran imesimama kutetea wanyonge wanaouwawa ovyo kukiuka sheria zote za vita duniani na mchochezi mkuu wa mauaji haya ni Marekani ambayo watawala wake wanaamrishwa na natanyahu shetani mkuu wa...
Back
Top Bottom