Recent content by Kitabu

  1. Kitabu

    JamiiForums Tanzania Mafundi photocopy machine piti hapa

    ni mtumba
  2. Kitabu

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kutumia Photocopier kama Printer aina ya Ricoh MP 2501 SP

    kama ww unajua si uelekeze humu Mkuu, au wewe sio dogo?
  3. Kitabu

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kutumia Photocopier kama Printer aina ya Ricoh MP 2501 SP

    ningewapata ningejisumbua hivi na kudhalilishwa kwei?
  4. Kitabu

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kutumia Photocopier kama Printer aina ya Ricoh MP 2501 SP

    duu..... basi mimi ni la saba failure asee.......mana naipakua lakini nashindwa ku install
  5. Kitabu

    JamiiForums Tanzania Mafundi photocopy machine piti hapa

    Mkuu simaanishi mistari, ni kwamba nashindwa ku connecto pc na photocopy ili ni print
  6. Kitabu

    JamiiForums Tanzania Mafundi photocopy machine piti hapa

    MKUU unamaana nikiweka drum mpya itakubali ku-connect??
  7. Kitabu

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kutumia Photocopier kama Printer aina ya Ricoh MP 2501 SP

    wakuu nina mashine aina ya RICOH MP 2501 SP , napataje free drivers ili nitumie kama printer? Kila driver ninayoiona mtandaoni inauzwa. Msaada tafadhali
  8. Kitabu

    JamiiForums Tanzania Mafundi photocopy machine piti hapa

    mkuu inanihusu mimi hii?
  9. Kitabu

    JamiiForums Tanzania TATIZO LA PHOTOCOPIER

    wakuu nina mashine aina ya RICOH MP 2501 SP , napataje free drivers ili nitumie kama printer?
  10. Kitabu

    JamiiForums Tanzania Mafundi photocopy machine piti hapa

    wakuu nina mashine aina ya RICOH MP 2501 SP , napataje free drivers ili nitumie kama printer?
  11. Kitabu

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku instal Canon IR 2204 kwenye pc yenye window 10 pro 64 bit

    Nahitaji msaada wenu tafadhali, nimejaribu mara kadhaa ku install ir 2204 kwenye pc lakini ikifikia hatua ya kuunganisha waya, inakaa muda mrefu halafu inaandika imeshindwa kutambua devise niliyounganisha, nifanyeje???
  12. Kitabu

    JamiiForums Tanzania iPhone X yaondolewa kwenye Vifaa vya Apple vitakavyopokea iOS 17

    Naomba kujua, downloaded documents kutoka whatsapp zinapatikana wapi kwenye iphone
  13. Kitabu

    JamiiForums Tanzania Optoma ep 706 projector imezima ghafla

    Lenzi mpya bei gani sokoni?
  14. Kitabu

    JamiiForums Tanzania Optoma ep 706 projector imezima ghafla

    Duu…nipo Dar mkuu
Back
Top Bottom