Recent content by Kitaabalaa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wale mliokimbilia kujenga Dodoma poleni sana

    Sure hata huduma kama maji imekua tatizo
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wale mliokimbilia kujenga Dodoma poleni sana

    Jamaa muongo Sana...nyumba dodoma gharama sana.means Kuna shortage ya nyumba...Maana yake Ni kua uhitaji Ni mkubwa
  3. K

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimepata kazi

    Sijajua Ila Kama inakuondolea usafi achana nayo..maana mwili Ni nyumba ya roho..kila mtu ana malaika wake..anakaa tu sehemu iliyosafi
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimepata kazi

    Haahaaa siwez kusema kwakweli
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimepata kazi

    Amen mama D...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimepata kazi

    Ni kua busy na mambo mingine ...na kubwa Zaid kuamua
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimepata kazi

    Jaribu mkuu
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimepata kazi

    Lakini puchu mnapiga...na manii mnatoa
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimepata kazi

    Hayo Ni kanuni za kuongeza nguvu upande wa kiroho
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimepata kazi

    Baada ya kuomba kazi humu na kutumia neno kuwa kazi iwe halali ama haramu...watu wakaogopa..lakini kotekote Cha muhimu uaminifu....Sasa nimepata kazi nashukuru Mungu...ingawa sio kwa connection za JF lakini mlio Jamiiforum mnaotafta ajira msikate tamaa..Ombeni Mungu...Msi sex ndani ya siku...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    Wanaume waliopitia situation ngumu najua wanajua inafika kipindi mtu unachafukwa roho na kua tayari kufanya lolote
  12. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    Najua nimewaogopesha...lakini mi Ni muaminifu ...na kusema haramu haimaanishi mi sio muaminifu boss...Ni kua hapo maji yako shingoni..hivo Niko tayari kwa lolote
  13. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    Kivip mkuu...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    Narudi Tena kijana wenu kuomba kazi najua humu wapo maboss wakubwa naweza kufanya Kazi yoyote ile ya kutumia nguvu..au .sales & marketing....mlinzi maana sijapita jkt lakini Niko fiti...mwenye kazi yoyote aniwezeshe..Niko Moro...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    Sina mkuu...
Back
Top Bottom