Munaongea mambo yaku chekelea! Mumelewa amani za huko kwenu njo munarusha mabomu za maneno bila ya kufikiri kwanza. Lakini mukumbuke kwamba malipo ni hapahapa. Mutu yeyote anahusika ktk kumwanga damu ya wa kongo wasio na hatia wajue kama kuna muhukumu juu. Gadaffi, sadam hussen, mobutu ama...
Mpaka pale hamuja nipajibu sahihi, mimi sio kiongozi wa nchi lakini ni raia masikini wa kawaida, lakini nyote hakuna hata wa kunitia moyo, munajibu kama munajadili na tshisekedi mwenyewe! Mimi hata kumjua simjui namuona tu kwa ma taswira za mtandaoni pia nimezaliwa hapanorth kivu ishasha drc...
Sisi kama wa kongomani kutoka DRC tume sisitiza kwa viongozi wa dunia walio nauwezo wa kumaliza vita vya muda mrefu nchini kongo kwamba tumechoka, kila aina ya unyanyasaji tumevumilia lakini tumeshindwa! sasa tunaomba UN,USA,EU,AU wakusanye pesa wanunue nuclear warushie inchi hiyo sote tufariki...
Tujaribu kuacha tabia za ubaguzi wa makabila, mtusi ni kama kabila lako wewe pia, na tuzidi kuvala maumivu ya wengine ndio tuhukumu, watusi huko RWANDA kwa enzi za zamani walifanyiwa mauaji ya kimbari ambayo mpaka sasa ingawa TANZANIA watu wamekufa kwa maandamano lakini sikama lile la RWANDA...
Wana-TANZANIA msifanye hivyo! inchi yenu itaharibika, kama rais samia amepita bila ninyi kumpenda, muvumilie atatoka tu baada ya muhula wake kuisha, bila hivyo mujifunze kuhusu kongo drc!
Na hata sisi wana DRC tunaendelea kuwapa pole ndugu zetu waTANZANIA, pole sana, haki za kibinadamu hazipo tena, hata sisi tuna meendelea kukufa tangu 1994 wakati tulipokea wakimbizi kutoka rwanda mpaka sasa tunakufa kila siku bila wakutuonea huruma, basi Mungu pekee ndie ajuae mwisho wa utawala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.