Kwa mwonekano ni wazuri ila.......
Ukiwa naye hana flavour ya mwanamke kabisaaaa!!! Maongezi yake, mitazamo yake, uelewa wake,mapishi yake, usafi wa mwili na wandani, ukarimu negative..... Sijasema mamboz yale!!!
Kila siku anabakia kulalamika tuuuu, kumbe angejua! Kila mwanaume anayetia mguu...
hapo ndipo unapoonesha kuwa we ni mjinga mara mbili! Mi sijatetea kuwa Ponda si mchochezi au kusema kuwa ni mchochezi! Hoja ni jinsi dola inavyotakiwa kudeal na watu kama hawa bila kikiuka haki za binadamu!! Yani ulivyomjinga unatamani ungekuwa ameshauawa! Unadhani hilo ndo suluhisho??? Acha...
Huwa kama mtu ni mjinga halafu hujui kuwa yeye ni mjinga ni hatari sana maana hawezi kuchukua hatua za kufuta huo ujinga alionao!
Tumekuwa tukishuhudia ukiukwaji wa haki za binadamu kwa baadhi ya watanzania kwa namna moja au nyingine na vyombo vya dola, na mitazamo au maoni mbali mbali juu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.