Recent content by kisoyya

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka kofia ya barghashia ya Nyerere 1964 hadi msalaba wa William Lukuvi 2014

    Mheshimiwa Mohammed Said, nimekuwa nikijifunza mambo mengi sana kupitia vitabu na makala zako mbalimbali, ni miongoni mwa wasomi wachache sana wenye kujua ukweli na kuusema bila kuficha, umewafungua na kuwatoa usingizi watu wengi sana hapa nchini juu ya historia halisi ya Tanganyika na mchango...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nape: CHADEMA ndio waliomtuma Lissu kumtukana Mwl.Nyerere

    nape tafadhali sana , acha kumuandama mheshimiwa lisu, hakuna tusi alilotukanwa nyerere, nyerere kafanya maovu mengi sana hapa tanzania, na mheshimiwa lisu pamoja na prof lipumba wanatakiwa kupata saa moja kwa kila mmoja ndani ya tbc telvision kuwaeleza watanzania maovu mengi aliyofanya nyerere...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nape: CHADEMA ndio waliomtuma Lissu kumtukana Mwl.Nyerere

    Nape tafadhali sana , acha kumuandama mheshimiwa lisu, hakuna tusi alilotukanwa nyerere, nyerere kafanya maovu mengi sana hapa tanzania, na mheshimiwa lisu pamoja na prof lipumba wanatakiwa kupata saa moja kwa kila mmoja ndani ya tbc telvision kuwaeleza watanzania maovu mengi aliyofanya nyerere...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

    BAADA YA KUPATA UHURU MWAKA 1961, MWALIMU NYERERE ALIGUNDUA NGUVU KUBWA YA WAISLAM KATIKA KUDAI HAKI BAADA YA KUONA MCHANGO WAO MKUBWA ULIOFANIKISHA KUPATIKANA UHURU. AKAANZISHA MPANGO MAALUM WA KUSIMIKA MFUMO KATOLIKI NDANI YA SERIKALI YAKE NA KUHAKIKISHA ANADHOOFISHA JITIHADA ZOTE ZA WAISLAAM...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kwa kufuata ushauri huu tutapata katiba kirahisi saaana!!!!

    swali: tutatokaje pale mjengoni tukiwa na katiba?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwa kufuata ushauri huu tutapata katiba kirahisi saaana!!!!

    kama wajumbe wa bmk wataendelea na mtindo huu wa kila kundi kushikilia hoja zake na kuamini ndizo bora na sahihi kuliko za kundi jingine, hakika itakua ni ndoto kupatikana kwa katiba ya wananchi ushauri...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tamko kutoka TBC: Mvua iliathiri mitambo wakati wa hotuba ya Lissu

    Tunashauri ufafanuzi wa mheshimiwa Tundu Lisu uandikwe kwenye magazeti yote yenye nia njema na mchakato huu, na wanaohusika wanunue airtime kwa TV zote ili tuweze kuona ufafanuzi muhimu mno wa uhalali wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. kama kutakua na ugumu wa kupata pesa za kuweza...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tamko kutoka TBC: Mvua iliathiri mitambo wakati wa hotuba ya Lissu

    tunashauri ufafanuzi wa mheshimiwa Tundu Lisu uandikwe kwenye magazeti yote yenye nia njema na mchakato huu, na wanaohusika wanunue airtime kwa TV zote ili tuweze kuona ufafanuzi muhimu mno wa uhalali wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. kama kutakua na ugumu wa kupata pesa za kuweza kufanikisha...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Waraka wa tatu wa Lema kwa rais Kikwete

    lema anaendekeza udini, iambo la kuchinja lilishamalizwa, bado anahangaika nalo!! hana jambo la kujenga nchi?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Waraka wa tatu wa Lema kwa rais Kikwete

    ewe lemaawomi nkiki kukundaa iisakya na wandu watiri ughuka? Elyi kukeeniingo ileghi shiingi den lemaa, a komalallya kolya ileghi neeangata kana? Nshakulishya mboo nkukeewuya lyingi dodoma foo, lasima wakutuule mwaakeu ukeesha , nkukeewa lyingi mpunge foo, na ndu muni nkusommye foo!! Malallya...
Back
Top Bottom