Tusipende kukatisha ndoto za watu kwa sababu ya sheria za kiserikali, kiujumla reseni za mariasili ni rafiki sana nenda kwenye ofisi unayotaka kuvuna mbao utapewa kibali kwa kufuata sheria za eneo husika, na ukitaka kuweka ofisi mjini nenda ofisi za wilaya hyo ya mjjni utapata bila shida
Mkuu wabongo hatupendi kusoma na kufuatilia facts jamii nzima bali wanajali hali zao privately hvyo ukileta story za deflation na inflation wanahsi unawanyina haki yao kiuchumi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.