Na hapa tuko nje tunaiangalia serikali maana tunakokwenda tutakuwa hatununui Ardhi Tena, haiwezekani mnavamia mnauziwa kwa 1500 kwa mita mraba halafu sisi upstanding citizen ambao hatuipi serikali shida tunauziwa kwa 6000, ni kama serikali inadekeza wahalifu halafu inawaadhibu wananchi watunza...
Hiyohiyo ya Lumumba,Pangani na Mkombozi,mimi nimeenda nikapewa bili ya 6000/square meter,wewe umeuziwa lini? Alafu ebu fikiria unauziwa eneo na mtu analipia alafu unaenda tena kulipia serikalini fedha ya nini?
Kinachofanyika Kibaha Kidimu ni dhuruma ya mabavu ya waziwazi, watu wanapokonywa umiliki wa maeneo yao hata baada ya kuyamiliki kwa zaidi ya miaka ishirini na kuambiwa wayanunue, wakati wapo watu waliouziwa na wenyeji kwa usimamizi wa serikali ya kijiji na wamefanya maendeleo ya kudumu vikiwemo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.