Recent content by kisirani

  1. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Huduma za NIDA ziwe kila Wilaya au NIDA watoe hela ya 'guest' kwa Wananchi. Ukiona bei ya mahindi iko juu, kalime yako

    Mkuu tumshauri aongeze nguvu kazi Maana ofisi za nida kila wilaya zinaupungufu wa rasilimali watu
  2. K

    JamiiForums Tanzania Barua kwa Rais kutoka kwa wahanga wa NIDA

    Basi mkuu mnapocheleweshewa huduma kwa sababu ya uhaba wa rasilimali watu msilalamike na kuilamu serekali
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Huduma za NIDA ziwe kila Wilaya au NIDA watoe hela ya 'guest' kwa Wananchi. Ukiona bei ya mahindi iko juu, kalime yako

    Mkuu sababu zipo nyingi Hatuwezi kuzitaja humu but naimani wahusika Ni wajuzi zaidi na tunachoomba Ni sisi kuongeza nguvu ktk Hilo zoezi Mfano mwanzo zoezi lilikua Ni dar tu Sasa mh Raisi anasema Ni nchi nzima So nguvu kazi lazima iongezeke
  4. K

    JamiiForums Tanzania Barua kwa Rais kutoka kwa wahanga wa NIDA

    Mkuu tuweke uzalendo kwanza
  5. K

    JamiiForums Tanzania Barua kwa Rais kutoka kwa wahanga wa NIDA

    M Mkuu bado tunasubiri
  6. K

    JamiiForums Tanzania Barua kwa Rais kutoka kwa wahanga wa NIDA

    Mkuu Mkuu hela zipo. Huoni miradi inayoendelea?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Huduma za NIDA ziwe kila Wilaya au NIDA watoe hela ya 'guest' kwa Wananchi. Ukiona bei ya mahindi iko juu, kalime yako

    Hapana mkuu Sisi tulikua Ni vibarua tu. Hatukua na malmlaka ingawa sisi ndio tulikua watendaji
  8. K

    JamiiForums Tanzania Barua kwa Rais kutoka kwa wahanga wa NIDA

    Mkuu bado tupo mtàani
  9. K

    JamiiForums Tanzania Barua kwa Rais kutoka kwa wahanga wa NIDA

    Mkuu sio wote wanaomsapot mh.Rasisi Ni wana ccm. Sisi tunaomba ajira Kama watanzania
  10. K

    JamiiForums Tanzania Barua kwa Rais kutoka kwa wahanga wa NIDA

    Mkuu Dua zako zinahitajika
  11. K

    JamiiForums Tanzania Barua kwa Rais kutoka kwa wahanga wa NIDA

    M Mkuu tuombee mungu mh Raisi atukumbuke
  12. K

    JamiiForums Tanzania Barua kwa Rais kutoka kwa wahanga wa NIDA

    M Mkuu naomba utufikishie ujumbe wetu.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Barua kwa Rais kutoka kwa wahanga wa NIDA

    Mkuu naimani ujumbe wetu utamfikia hata Kama ukichelewa
  14. K

    JamiiForums Tanzania Barua kwa Rais kutoka kwa wahanga wa NIDA

    Mkuu vijana wako bado tupo mtàani. Tupe nafasi tutafanya kwa uadilifu
  15. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Huduma za NIDA ziwe kila Wilaya au NIDA watoe hela ya 'guest' kwa Wananchi. Ukiona bei ya mahindi iko juu, kalime yako

    Mkuu tunakuomba tune nafasi sisi vijana tuliosimamishwa kazi nida tufanye iyo kazi. Tunauzoefu wa kutosha
Back
Top Bottom