Ni kweli kwamba suala la Marekani hasa lilikuwa ni Kuudhibiti Ukomunist. Lakini ajenda ya Bush ya Crusade dhidi ya Uaislamu inafahamika hivyo huwezi kutenganisha ajenda yake ya udini na ile ajenda mama ya kuudhibiti Ukomunist. Kama ni suala tu la kuudhibiti Ukomunist basi hata Muislamu wangeweza...
Suala la mapinduzi ya Zanzibar tulishalitolea maelezo na kuelezea jinsi mapinduzi hayo yalivyopangwa kwenye ngazi ya East Africa yakifadhiliwa na Marekani wakati George Bush ndio Mkuu wa Mashushushu. Haya vilevile yalienda sambamba na mkakati wa kueneza Ukatoliki East Africa kama nilivyoelezea...
Wewe hujui hata hiyo historia ya Kivukoni unapata wapi guts za kuzungumza na wanaume wa madrasa hapa? Hivi umeleta mnakasha huu kutegemea kudesa kwenye simu? Acha utoto wewe tafuta shughuli nyingine. Watoto na mke wako wanakufuatilia kwenye huu mnakasha. Kuliko kuendelea kujidhalilisha, kubali...
So long as utaendelea kuwa kwenye mnakasha huu, nitaendelea kuwasiliana na wewe kadri utakavyokuwa unaweka hoja zako hapa, ujibu au usijibu. Wewe ndiye uliyeanzisha mnakasha huu na wewe ndiye mwenye jukumu la kutetea hoja zako za kijinga. Ukiona hakuna haja ya kuendelea na huu mnakasha, basi...
Kwani anafahamu hata review ya kitabu maana yake nini?
Mimi nashindwa kumuelewa huyu jamaaa kapata wapi guts za kujidhalilisha kiasi hiki kwa kuanzisha mada ambayo hana hata kitu kimoja anachokijua. Pengine alidhani washkaji zake kama kina Mimi Mwanakijiji, Joka Kuu, Nguruvi3, Jasusi...
Unajua huyu jamaa nilisha mu assess kabla hata hajatoa kipande kimoja cha kitabu chake. Nilianza kumuita dogo mapema sana kutokana na uwezo wake wa kitoto wa kujenga hoja na kuzisimamia. Alipoanza kuweka matambo yake kwamba amealikwa mpaka Marekani kwa ajili ya kitabu chake cha ugaidi, nilijua...
Ndiyo maana nilimuuliza kama alikuwa guided na scope ya kitabu alichotaka kuandika akashindwa kuelewa nina maana gani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Yaani huyu jamaa hata kusimulia mapenzi yake na mke wake kwenye kitabu hawezi.
Sihitaji kujua serikali inatumia chombo kipi. Ninachojua ni kwamba inawasiliana na wakristo kutumia vyombo au chombo ambacho wakristo wamekiunda wenyewe. Hawakuundiwa na Dola.
Kusajiliwa na Serikali ni kuruhusiwa kisheria kuendesha shughuli zao iwe kama NGO au vinginevyo. Hivyo vyote...
Kuna vyombo vya kikatoliki, vyombo ya kiprotestanti, na madhebu mengine ya kikristo yana vyombo vyao ambavyo vina direct connection ya vyombo wanavyoshabihiana navyo dunia nzima. Vilevile kuna vyombo vinavyowaunganisha wakristo wote. Mifano michache tu ni hii hapa:
Christian Council of...
Kwani wakristo mna chombo kimoja tu kinachowaunganisha wakristo wote? Kila dhehebu si lina chombo chake pia?
Suala la msingi ni kwamba Waislamu nao wapewe haki ya kuanzisha vyombo vyao kadri watakavyoona inawafaa na vipewe usajili na Serikali bila mizengwe. Vyombo hivyo viruhusiwe kushirikiana...
Huwezi kunielewa kwa sababu uwezo wako wa kuelewa mambo ni mdogo sana. Ndio maana nakushauri acha kupoteza wakati wako kuandika mambo ambayo huna uwezo nayo kwani utajidhalilisha sana wewe na familia yako na utaanika ujinga wako milele kupitia kitabu hicho unachotaka kukitoa.
Umeshindwa kuonyesha kwamba Marekani si magaidi kutokana na definition yako ya ugaidi. Kitabu chako chote kinakuwa hakina maana kama wewe mwenyewe umeshindwa kunyambua tu definition yako ya ugaidi na kuhalalisha kwa nini Marekani sio magaidi? Mimi ningekushauri utafute kazi nyingine ya kufanya...
Taasisi za kikristo ziliwachwa ziendelee kama zilivyokuwa huko nyuma ila za kiislamu zilidhibitiwa kwa ajili ya "shughuli pevu" ya kujenga utaifa wa kuwanyima waislamu elimu na kuwafukuza kwenye chama cha TANU walichokianzisha wenyewe!!!!!!!!!!!
Mpaka leo tupo hapa Waislamu hawajapewa ruhusa na...
Did you ever think that there was no such an animal called Al qaida? Check this out C.I.A. no al-qaeda ever existed - Tanzania's Online Community Forum | Maskani.co.tz
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.