Recent content by Kisikichambuyu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya kukaa na kutafakari haya nimeona bora nisiwe na dini kuliko kuwa na dini

    Yule ni mganga sio kiongozi Wa dini[emoji1] [emoji1]
  2. K

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kusisimua ya Prof. Mark Mwandosya: Salaam kutoka Comoro

    Uzi mtamu sana. Tupia ktk gazeti Prof. Watu wengi wapate ilmu hii.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana vijana wetu waliokufa Congo ni kutokana na kutokuwa na uzoefu wa kutosha wa vita?

    Na ndio maana hata tulipokuwa JKT ukikutwa umesinzia Lindoni adhabu utakayopewa utajuta kuzaliwa. Ninao uzoefu nilijutaa
  4. K

    JamiiForums Tanzania Swali Fikirishi: Je Tanzania tunapambana na nani DRC (EA)?

    Kabla ya kujiondoa Congo tuwachape kisawasawa hao waasi na jamaa zao tusijitoe kizembe zembe tuwachape tuuu ndo tusepe zetu.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ford UK wanatoa magari mazuri na nafuu kuliko Toyota Japan

    Vipi Discovery Td 5 Diesel. Auto?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Miili ya wanajeshi 14 waliouawa DRC yawasili katika uwanja wa ndege wa jeshi, kuagwa Lugalo Alhamis Desemba 14

    Yaa ni kweli angalia mfano Wa Cinema moja inaitwa 13 Hours- The secret soldiers of Bhengazi waasi walipovamia ubalozi Wa marekani pale Libya.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nimempeleka mke wangu Hospitali kwa tatizo la jino, daktari kasema tupime afya kwanza. Je, hii imekaaje?

    Hiyo Deal kachonga wife wako akutie kwenye kibano inaonekana hakuelewi elewi hivi. Kala mchongo na Dk. Umeingia Kingi kazi kwako. Utupe mrejesho.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Expansion joints kwenye miradi ya Ujenzi ni kitu gani? Tuendelee kujielimisha

    Yaani umeeleza vizuri sana endelea kufafanua zaidi bado Nina kiu ya kujua zaidi
  9. K

    JamiiForums Tanzania Bia gani inafaa kwa mtu anayeanza kunywa?

    Anza na Safari Lager. Kwani safari moja huanzisha nyingine utafika tu. Kijana una umri gani sasa? Mpaka Leo hujaamza kugida tu.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Top 10 most best and powerful main battle tanks in Africa

    Wameshindwa kupata info za Jeshi LA Tz kwa kuwa Lina siri kubwa sana.
Back
Top Bottom