Zile fine zinazopigwa million 200 mara million 50, zinaendaga wapi, TFF mishahara imewashinda, basi la timu ya taifa mpaka wadau wajiongeze!
TFF kuna shida!
Mchambuzi wa siasa, afya, sheria nk wote wamesomea na kubobea kielimu humo, ila ukija kwenye soka la bongo ukiwa na kamdomo tu na uka Google vijihabari vya hapa na pale tayari unatuchambulia mpira🙌🤣
Ukweli mchungu, tatizo pale Yanga siyo makocha wala nini, tatizo ni usajili usiyoendana na mahitaji ya timu!
Mfano unasajili strikers 2 wa kigeni wa nini wakati namba 8 mzuri huna mpaka max anarudishwa kucheza hapo na hana mbadala! Ile kumchezesha mechi zote bila ya kumpunzisha ni Alert mnapewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.