Recent content by kisho

  1. K

    MAKAMBA vs SHY-ROSE UVCCM Dodoma, Kulikoni?

    lakini huyo bi mkubwa kazidi nae! anajifanya kazaliwa kuwa kiongooozi! ukitaka kuamini hilo akaona ajiingize CHANETA kwa sababu hakuna ushindani wa kutosha! amekutana na mwehu mwenzie acha watiane adabu!
  2. K

    Mwingira amlaani mchungaji Loliondo!

    wanaona babu anawachukulia WATEJA WAO! ikumbukwe cku hz dini ni bsns entity kama zilivyo zingine! yetu macho! ukiamini nenda hutaki kaa kimya!
Back
Top Bottom