We unasema umesoma sana uko na degree lkn sioni masomo yko yakikusaidia ndo kwanza akili zimekua finyu.we fanya kazi alafu uwe na mpango wa kumfungulia biashara...apo utakua umepiga hatua mbele nyote wawili
Daah tunashida wallahi ndo sabbu ndoa haziwezi dumu kwa mitizamo kama hio,kama binti ana tabia nzur ni mwaminifu basi usiangalie eti lzma awe na kazi au msomi.jiamini mwanaume
Mwanamke hana shida,shida ni mwamaume kuchagua binti asie na tabia.na pia wanaume hawa tabia sio tu wanawake.na lau watu watafwata mafundisho ya ndoa kulingana na mafunzo sidhani kutakua na haya matatizo na talaka kila wkt.
Ndoa ni mkataba unaohalalisha mahusiano ya mume na mke.umuhimu wa ndoa
1.mwanzo ni ibadaa
2.inazuia uzinifu
3.inapanua ukoo
4.kwa imaani ya kiislamu ukifa bado utakua ukipata jazaa ya matendo yko kupitia watoto wko kama utakua umewalewa kisawasa.
Ima pia ndoa ni mitihani yke na ili kiepuka io...
Jameni tuache kua tukikashifu wanawake kila wakati.pia sisi wanaume wengi hatudhamini wanawake ktk ndoa.lazma tuangalie both sides of the coin.kusema kweli mwanamke ana play role kubwa ktk jamii.u can do with out money but u cant do with out a woman,ndo sabbu ata peponi wko lkn akuna mali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.