Acha watu wale nchı wewe shıda zako chukua jembe ukalıme mbuzı wa albadılu wewe wewe ulıtaka uende au umbeya mtupu kwanza nanı kakupa dokezo kama sıo kwamba kakuuzıa. Wewe uko wapı nchı ımeuzwa bado uko Namtumbo nadhanı. Kama...
Okey Malecela umeshinda ila bado naamini kwamba hoja yako leo haina mantiki na ninaendelea kuamini hivyo. Endelea kuona kama umeelimika ila kimsingi ni vema sasa ukaungana na mimi kuanzisha mfumo Mbadala wa CCM maana nakuona hutaki unataka. Kwa hili nitaendelea kuamini kwamba umepotoka kaka...
Ni kweli umeishi Marekani sipingi ila Marekeani sio Tanzania. Pili ni vema ukajua kwamba Tanzania na Marekani kimfumo wa Utawala ni Tofauti kabisa yaani Presidential System na Parliamentary System. Tatu ni vema ukajua kwamba Tanzania haikuiga mfumo wa kupiga kura Marekani ila Marekani na...
wewe ni moja ya wajinga ambao wanaishi kwa bahati mbaya tu. Hivi Rais baada ya kuchagulia aliaapa kulinda Katiba ya CCM au Katiba ya Nchi. Nape na Kinana kama walivyo wanasiasa walikuwa wanatafuata huruma ya wananchi ili CCM isionekane ndiyo chanzo cha matatizo yao ila Serikali. Ila moja...
Nilikuwa nakuheshimu sana kwa kutoa mada zenye msingi lakini leo umepotoka sana. Ni vema kabla ya kutoa hoja kama hii ukapitia kwanza shule hususan pale Idara ya Siasa ya Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam kuna kozi inaitwa Government Bureacracies na Public Administration in Tanzania. Kimsingi na kwa...
Na wazırı wa Vıwanda atatokea Sıngıda na jukumu la kwanza nı kuanzısha kıwanda cha Gongo Karatu Mjını na Depo lıtakuwa Arusha na Irınga na Haımaye Mbeya mjını kutakuwa na Tawı. Astaghafılulah waallah...
Yaani wewe ni mjinga kuliko wajinga wote niliyowahi kuwaona. Hivi unajua kwamba wajumbe wa bunge la katiba ni zaidi ya mia sita? Na je unajua kwamba viti vinavyongolewa ni 315 hivi? Kabla hujaandika kitu tafakari kwanza au ikiwezekana tushauri bunge la katiba lifanyike viwanja vya jangwan
Nimekuwa nikifuatilia mijadala hapa jamii Forum kwa muda sasa lakini kikubwa ninachokumbana nacho ni ugomvi wa Vijana dhidi ya Wazee. Kwa mantiki ya Haraka Vijana Nchini Tanzania kwa mtizamo wangu wanawakilisha awazo yao kupitia Vyama vya Upinzani wakati wazee ambao ndiyo wako nafasi sasa wakiwa...
Someni vijana fanyeni kazi kushinda ama kutoshinda kwa CHADEMA hakutamwezesha Ombaomba wa pale Singida na Dodoma kumudu maisha yake. Tulieni fikirieni kwanza nini mnapaswa kufanya na hapo ndipo nitaona mnafaa kuongoza nchi hii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.