Recent content by kishapu boy

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Mie lilifika July,2026 Mkuu
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Endelea kuvuta subra mkuu utatoboa tu Inshallah
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Pole sana mkuu,nakumbuka miaka ile ya nyuma wakati wa Magufuli walipoifuta SSRA kuna mdada alihamishiwa Halmashauri aisii aliacha kazi maana akikumbuka asali aliyokuwa anailamba akiwa SSRA na uko alikohamishiwa ni kama Mbingu na Ardhi ila uzuri alikuwa keshainvest vya kutosha,huku maofisin kuna...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Wote wako vizuri ila TCRA ni habari nyingine kabsaa wale ndo wanalamba asali ya nchi, miposho kama yote ila shda ipo kwenye kupata nafasi za kuhamia taasisi kama hizo maana vigogo wote wanatamani watoto wao waende hapo, so competition yake sio poa maana kila mtu anapatolea macho
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Hlf tukumbushane tu wakuu,kabla ujafanya maamuzi ya kuhamia sehemu hakikisha umefanya utafiti wa kutosha uko unakotaka kuhamia kukoje??vinginevyo unaweza jutia kwa nn ulifanya uamuzi wa kuhama NB:uhamisho ni haki ya mtumishi
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Umetisha mkuu hapo namba 5 upande wa mfuko wa mawasiliano kwa wote(UCSAF) ni balaa tupu,tuliwahi shiriki nao michezo ya kuvuta kamba wote ofisi zima wana vitambi
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Ni kweli kabsaa mkuu kuna taasisi mishahara mikubwa ila no safari,no posho zingine ni mwendo wa kusubir basic salary yaaan mwez to mwez mbona utajuta
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Hlf kwa jinsi mfumo ulivyo,kama nafasi haiko budgeted au kwa sababu nyingine yeyote inakukatalia mapema kabsaa wakati wa kuomba vacancy request kabla ya hatua inayofuata ya kuinitiate transfer request
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Mie nina ushuhuda mkuu kuna jamaa kapata kibali cha uhamisho kupitia huo utaratibu wa auto,na hakupata changamoto yeyote wakati wa kuinitiate transfer request
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Posho zipo za hapa na pale ila sio kama zamani ila kama anaenda idara ya forodha hapo keshayapatia maisha
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Matumaini yapo Mkuu kwa sababu hyo kujibiwa automatically inaendana na assumption kwamba ombi lako limekubaliwa
  12. K

    JamiiForums Tanzania Responded Waraka wa Katibu Mkuu kuhusu MUDA WA KUSHUGHULIKIA MAOMBI YA UHAMISHO KUPITIA MODULI YA e-UHAMISHO

    Mkuu sorry!!!naomba nipate ufafanuzi kidogo ,hv upande wa attachment kule kwenye vacancy request je unaattach CV tu au ni pamoja na barua ya maombi ya kuomba kuhamia uko unakotaka kwenda??
  13. K

    JamiiForums Tanzania List ya kazi ambazo ukifanya yakupasa uwe na roho ngumu

    Da mie mwenyewe niliwahi fanya kama Loan officer kwenye Taasisi mojawapo ya mikopo ipo wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara,kuna siku nipo katika harakati za kufatilia marejesho cna hili wa lile kilitokea kimbunga hicho cjui hata kilipozuka aisiii kule kuna wanga balaa nikaona isiwe tabu nikaachana nayo...
  14. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Abdulkareem Atiki: Mama Samia ni muumini mkubwa wa demokrasia

    Huyu ponjoro kuna wakati kama hamnazo
  15. K

    JamiiForums Tanzania PBZ wananizingua; Kuna benki yoyote inayotoa mkopo 'online' (katika ESS) ndani ya siku mbili niwakimbie hawa?!!!

    Exim wapuuz mwaka jana waliniweka kama week 2 nikaona bora nirud NMB
Back
Top Bottom