Habari za usiku huu wanaJF;
Ni kweli kila mtu anayo haki ya kuamua mambo yake, lakini mimi naamini mtu mwenye busara anapoamua jambo anaangalia pia litakavyo waathiri watu wanaomtegemea. Kwa njia hiyo anaweza hata akachelewesha maamuzi yake endapo anaona hiyo itawasaidia watu wake. Binafsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.