Recent content by kisanzala

  1. kisanzala

    JamiiForums Tanzania Kiongozi mkuu wa CHADEMA akisema chama hakitashiriki tena uchaguzi 2030, mtafanyaje wana CHADEMA?

    Kama mfumo utabaki uleule hakuna atakaeenda kupiga kula na tutaingia tena balabalani watumalize wote ili watawale makabuli...
  2. kisanzala

    JamiiForums Tanzania Utata waibuka msafara wa msiba Morogoro, Polisi yachunguza kifo cha msichana wa kazi na magari kuchomwa moto

    Sasa uyu ni marehem 1 to na mwili umepatikana lakini tahaluki imekuwa kubwa kiasi iki... Imekuaje wale ambao ni zaidi ya elfu 8 waliouwawa cku ya maandamano ndugu zao kuwa kimya kiasi iki??!! Kunavitisho gani vinavyoendelea juu ya wanafamilia waliobaki...
  3. kisanzala

    JamiiForums Tanzania Wameuawa watu wengi tangu Oktoba 29, kwanini ndugu wa waliouwa wapo kimya na hamna dalili zozote za retaliation

    Yani ili jambo nimelifikilia sana na nikashindwa kupata jibu.. Mimi cna ndugu alieuwawa kwenye maandamano japo cna uhakika maana unawezatambua cku zijazo ila maumivu niliyonayo juu ya roho zilizoondoka cku ya mo 29 ni makubwa.. Iweje wafiwa wawe watulivu kama wamepoteza paka wakati tumepoteza...
  4. kisanzala

    JamiiForums Tanzania Mange, Maria Sarungi na watetezi wa haki wote wasomewa Albadir!

    Iyo albadir mbona itawaludia wao matapeli wakubwa hao
  5. kisanzala

    JamiiForums Tanzania PICHA: Huyu Ndio Tumaini na Mzalendo Namba Moja Aliyebakia Hapa Afrika ambaye hata mabeberu wanamuogopa

    We ni taila uliekamilika..🍉🍉🍉
  6. kisanzala

    JamiiForums Tanzania Chama tawala Malawi tunaogopa Njia hii wananchi wakiijua inaweza kuwafunua kupata mbinu ya kuzuia uchaguzi kirahisi

    mi ninauwezo wa kukusanya vtambulisho vya wananchi 1000 ambao hawatataka kupiga kula kwa mfumo tulionao sasa...
  7. kisanzala

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Rais Samia aanguka ghafla wakati wa kampeni Mbalizi, Mbeya

    Tulia italeta majibu to haiwezi enda bule iyo...
  8. kisanzala

    JamiiForums Tanzania Can Islam coexist with non Muslims? Ni kawaida waislam kuwa huru nchi yenye wakristo 99%, kwanini wao wakiwa wengi huminya imani nyingine?

    DOh..usitamke maneno hayo coz yanatengeneza chuki.. Ivi unajua tupo waislam wengi sana tunaochukizwa na matendo hayo??
  9. kisanzala

    JamiiForums Tanzania GE2025 MWABUKUSI nenda bungeni zinakotungwa sheria, kelele za nje ya Bunge ni too late

    Kwani kama kuvunja katiba ya nchi na ya chama chako uyo mamaako kashavunja mala ngap?? Unataka Mwabukusi aingie bunge kwa mfumo upi wa uchaguzi?? Unafikili uyo mamaako yuko tayali kumuachia mtu alie serious angie bungeni... Kubalini reforms zifanyike ili wenye akili waweze kuingia bungeni..
  10. kisanzala

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kuichangia CCM, Tafakari kwa Umakini, Maana inaweza kuwa laana yako

    Sio jambazi to we mwambie hata machoko wapo wanaowaunga mkono pia..
  11. kisanzala

    JamiiForums Tanzania TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

    Ila jambazi anasumbua mtaani kwako akifa si utashukuru??
  12. kisanzala

    JamiiForums Tanzania TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

    Sio yeye to hata mimi nawewe..
  13. kisanzala

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tulikuwa gizani, hatukujua Mpina ndio kete ya ushindi

    Nitakuw mpumbavu wa mwisho kuamini eti Mpina nae ni mpinzani yani mtetezi wetu.. Wapinzani wakweli wapo kwenye NO reform No election... Hawa wengine wanatengenezwa ili kuweka upinzani feki..
  14. kisanzala

    JamiiForums Tanzania TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

    Ni kweli tunakufa kila cku ila chakushangaza ni nyie mliotaka kumuona Lissu akifa mapema naona ndo mnapukutika..
  15. kisanzala

    JamiiForums Tanzania TANZIA GE2025 Job Ndugai, aliyewahi kuwa Spika wa Bunge afariki Dunia

    Na yeye aliepata idhini ya matibabu toka bungeni ndo kaondoka na wamemuacha walie mnyima matibabu ili afe.. kudadeki kifo kiboko...
Back
Top Bottom