Kama mwana JF natoa pole kwa masikitiko makubwa.Kinachonishangaza tu ni suala la hizi tume.Labda ni utaratibu tu wa serikali, lakini usipofanya mambo kuwa magumu, ni wazi wauguzi waliompotosha daktari ndio wangeshughulikiwa.Sjafahamu kama wamechukuliwa hatua gani zaidi ya kujua aliyechukuliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.