Recent content by Kisabulo

  1. Kisabulo

    Je, Mwajiri kupunguza mshahara wa wafanyakazi bila majadiliano kipindi cha Corona. Sheria inasemaje?

    Habari wakuu, Nahitaji msaada wa sheria. Kipindi hiki ambacho tunapambana na corona, kampuni imepunguza mishahara pasipo majadiliano na wafanyakazi. Je, ni sheria ipi inahusika? Wapi tunaweza kulalamika?
  2. Kisabulo

    Naomba mwenye uzoefu wa biashara shule za msingi wa uuzaji barafu anipe mchanganuo

    Naomba mwenye uzoefu na biashara ya barafu shule za msingi anipe mchanganuo
Back
Top Bottom