HABARI NJEMA.
Kama kuna mtu anamfahamu Edson Mwakyombe ambaye ametokea kwenye gazeti la Mwananchi akilia baada ya kukosa mkopo naomba anitumie mawasiliano yake. Kuna mtu amejitolea kumlipia ada mwaka mmoja na mwingine hostel. Awasiliane na. 0767 533 433
SAMBAZA UJUMBE HUU KWENYE GROUPS NYINGI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.