Recent content by kirumbiu

  1. kirumbiu

    PreGE2025 Rais Samia ampigia simu Kuhani Mussa na kumuahidi mchango wa Tsh. Milioni 100 ujenzi wa kanisa!

    Wewe nakuambia tena umesoma lakini huna akili huna hata aibu wa maneno uwazayo kimtokacho mtu ndicho kimejaa moyoni mwako amka usingizini
  2. kirumbiu

    PreGE2025 Rais Samia ampigia simu Kuhani Mussa na kumuahidi mchango wa Tsh. Milioni 100 ujenzi wa kanisa!

    Wewe nani mpaka utake nyaraka za chama kisichokuhusu umesoma lakini unakopi akili za vijiwe vya kahawa mbowe siyo saizi yako unadhubutu nini wakati hata balozi wako hakujui uko mbali mno pole yako Wewe umesoma lakini huna akili hili jukwaa la wasomi na kushangaa sana mbowe namweshimu kwakuwa ni...
  3. kirumbiu

    PreGE2025 Rais Samia ampigia simu Kuhani Mussa na kumuahidi mchango wa Tsh. Milioni 100 ujenzi wa kanisa!

    Wewe nani mpaka utake nyaraka za chama kisichokuhusu umesoma lakini unakopi akili za vijiwe vya kahawa mbowe siyo saizi yako unadhubutu nini wakati hata balozi wako hakujui uko mbali mno pole yako
  4. kirumbiu

    PreGE2025 Rais Samia ampigia simu Kuhani Mussa na kumuahidi mchango wa Tsh. Milioni 100 ujenzi wa kanisa!

    Unateseka na mbowe ukiwa wapi mkuu nafikiri uko lupaa chunya au mulongo isenyi bila shaka pole sana na hata bando huwa ni shida kwako kwenye jamvii hili unaingia mwaka mara moja
  5. kirumbiu

    Naim Qassem ateuliwa kuwa Kiongozi Mkuu wa kikundi cha kigaidi Hezbollah

    Amekubali naye asimalize huu mwaka amechoka kuishi [/USER]
  6. kirumbiu

    Picha za satelaiti zinaonyesha nini kuhusu mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran

    Ala wanawake sasa wakitumwa wanaume au makomandoo ndiyo itakuweje
  7. kirumbiu

    Picha za satelaiti zinaonyesha nini kuhusu mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran

    Kuna mabingwa wa kubisha humu kuwa iran imedungua kombora zote za Israel hiki kilicho mpata iran ni sawa na umchokoze matumula eti itampiga mkianza tu anakupiga ngumi za pua na jicho damu puani na macho unaona nyota nyota sidhani kama utaweza rusha tena ngumi sasa kwa iran tusubiri labda...
  8. kirumbiu

    Ipi siri ya Wayahudi kuwa na akili sana?

    Unafikiri swala la Israel siyo anapigana na palestinians yeye anapigana na magaidi wa hamas waliojichanganya ndani ya raia wa kipalestina na wengi wa wapalestina hawapendi hamas wanalazimishwa tambua west bank ni mamlaka ya palestinians lakini hakuna tatizo kama la gaza wanakotawala hamas...
  9. kirumbiu

    Rasmi Putin aonesha sample za noti mpya za BRICS. Je, huu ndio mwisho wa US Dollar?

    Wewe hata kidogo kivipi china isitegemee USA itakuwa kichekesho hivi unajua soko la chuma china inategemea kwa asilimia kubwa sana familia meli kubwa za evergreen nanga ni USA
  10. kirumbiu

    Huyu Mzee Mstaafu askari wa IDF Anachozungumza Ndicho IDF Imefanya Gaza

    Umw Umenena vema tatizo la waswahili wa dini ya kiislamu humu wanadhani ni dini inapigwa pale ni ardhi inagombaniwa na unabii wa Yesu aliyeuliwa na hao wayahudi alitabiri taifa la kizazi hicho kitaisha kisha taifa litachupuka upya na walimkana lazima warudi wote na lazima wate wamuubiri duniani...
  11. kirumbiu

    Huyu Mzee Mstaafu askari wa IDF Anachozungumza Ndicho IDF Imefanya Gaza

    Yaani wataisha wote tatizo la kizazi hiki ujuaji mwingi soma biblia aliyoyatabiri yesu kuhusu taifa la Israel kutawanyika kwake na kurudi kwake hata hicho kipande cha palestinians lazima liwe lote kwa Israel na ndiyo maana kila walioamua mipaka vita Tambua tangu zamani hiyo ardhi haikuwa ya...
  12. kirumbiu

    Huyu Mzee Mstaafu askari wa IDF Anachozungumza Ndicho IDF Imefanya Gaza

    Shida wewe unafafanua ukiwa na elements za udini pale kinachogombewa ni ardhi siyo dini wengine wanatumia dini ilikupata kuungwa mkono kama hamas wanavyojificha kwa watoto na wamama ili kupata huruma ila mimi nawalaumu wapalestina walioukataa mpango wa UN kama wenzao Israel wao walivyokubali...
  13. kirumbiu

    Pongezi kwa Zakazakazi kuufafanua mgogoro wa Israel na Palestina kwa facts na kuweka udini pembeni

    Wapalestina siyo wafilisti wapalestine ni waarabu na wala asili ya jina palestinians siyo kiarabu hilo jina lilibuniwana mrumi kwa lengo la kufuta taifa la Israel
  14. kirumbiu

    Huyu Mzee Mstaafu askari wa IDF Anachozungumza Ndicho IDF Imefanya Gaza

    Sasa wewe unaongea kuwa taifa la Israel kimeundwa 1948 kwa mujibu wa UN lakini tambua kabla ya UN taifa hilo la kitambo kama wewe ni msomi soma taifa la rumi ndiyo utayafuta hayo mawazo ya waalimu wa madarasa na tangu kuumbwa kwa ulimwengu hapajakuwepo taifa wa nchi ya wapalestina kwa taarifa...
  15. kirumbiu

    Israel VS Iran kwenye sekta ya Uchumi

    Kule china wanafuata vibarua na wafanyakazi wa gharama ndogo na aina ya madini kiurahisi
Back
Top Bottom