Jamaa ni boss wangu lakini tumekua marafiki wakubwa mambo mengi ya kifamilia tunashirikishana. Jamaa ana ndoa yake ya kikatoliki na watoto uchumi uko vizuri,
Boss kanasa kwa dada mmoja pisi na nusu, dada ni mzuri Hadi kero, ana rangi, shape na kaenda hewani huko nyuma ni hatarii
Lakini demu ni...
Mimi binafsi wakati hii kesi inaanza nilijua Lissu atakaa kimya hatojitetea Wala kua na wakili au mashahidi kesi iendeshwe upande mmoja kwa kuamini kua anaonewa lkn alivoanza kujitetea na kuweka mapingamiz na kinachoendekea sasa mwenyekiti gudbai
Mashtaka ya uongo kivip Babu wamemkuta ana kesi ya kujibu, ameanza kujitetea na mashahidi wanaendelea kumtetea na mbaya zaidi mahakama imewaita Wana usalama, kesi inasikilizwa open Kila mtu anaona kimasiala wanaweza kumnyoa mwenyekiti
Yaan watu wa hovyo sana mmewahasisha watu wafanye vurugu, wakafanya wakapat madhara hamjazipa familia zao faraja Wala misaada Leo imekua agenda eti mnawalilia mmehuzunishwa sana, ujinga
Nampa pole Rais wangu kipenzi mama Samia suluhu Hassan kwa kufiwa na baba yetu mzee Hafidh Hassan
Nimeona watu wengi wanaenda kumpa pole mama za kufiwa, na sisi waafrika tunapoenda kumuona mgonjwa hospital au kuhani msiba lazima tunaacha chochote kitu, swali je Hawa wanaoenda kumhani mama je...
Bora umchukie mtu wa level zako kumchukia Rais wa nchi ni kujitesa, huwezi kukaa nae hata cku Moja mkamaliza tofauti zenu, chukia umasikini upambane nao sio mtu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.