Recent content by Kiresua

 1. Kiresua

  TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

  Nilipia service ya kupata Luku ya 3 phace tangu tar 27 march 2019 mpaka leo nazungushwa tu. nimefualitlia mpaka kwa meneja bado hawajaonekana kuwa masaada. Nimepata hasara kwani imenibindi niweke Mlinzi kulinda moundombinu niliyoisimika ambayo haizalishi.... please tuambie nini kinaendelea. na...
 2. Kiresua

  Nahitaji one storey home Plan

  Seriously ?
 3. Kiresua

  Nahitaji one storey home Plan

  Sim yako haipatikani
 4. Kiresua

  Nahitaji one storey home Plan

  Kwa architect mbunifu anayeweza kunitengenezea kazi nzuri ya kissasa please PM
 5. Kiresua

  Enzi hizo kuogeshwa

  Heheheh
 6. Kiresua

  Lazaro Nyalandu alijaribu kubinafisisha Mbuga ya Wanyama ya Katavi kwa Wamarekani

  Ndugu wewe ni muhifadhi? Kama sio acha KBS kuleta hoja usizozijua. Ingawa la Nyalandu silijui ila nataka kutoa hoja hapa. Private -Public-Partnership ni modal ambayo inayotrend kwa sasa. Ni modal inayotakiwa kuweka chachu ktk ukuaji wa uchumi na kuborsha huduma kwa jamii. Hatujawahi kuwa...
 7. Kiresua

  Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

  Mkuu ungemuuliza tu akufafanulia. Ika Training ya watu 300/ilianza tr za mwanzo za mwezi huu, kwa batch ya pili 100 ambao watalipa 130 itaanza next week tr 2. So that's how I understand.
 8. Kiresua

  Jamii saccos: Nina wazo la kuanzisha saccos ya wanaJamiiForums na wengineo

  mkuu tulishanzisha ikagoma.... tilichanga hela tukawa na ofs nzuri sana hapo kinondoni tukafanya parttion tukasajili ikakomea padogo sana watu kwenye vikao hawaji tukaaamua kukubaliana kuwa tumeshindwa.... kaka kiiza, nampesia, nawengine..... ikashindikana bana
 9. Kiresua

  Cardinal namba 3 wa Vatican ashitakiwa kwa ulawiti

  heheh nacheka sana, mnakumbuka kipindi cha nyuma kulikuwa na allegations nyingi sana kuhusu clergy men on sexual harassment? mnajua kwanini zilipungua gafla na zikawa hazisikiki kabisa kwa muda?? by then kanisa lilikuwa responsible na offence zote zilizofanywa na watawa na makasisi wake, na...
 10. Kiresua

  Company Name Vs Business name

  Ndugu habari ya asubuhi, naomba kujua kama jina la biashara lina linaimplication katika usajili wa jina la kampuni. Nilisajili jina la bashara sasa nataka kuanzisha kampuni. nimelogin kwenye system za Brela kwa ajili ya name clearance (same same as the one i registered under business name, not...
 11. Kiresua

  Natafuta Mashine za Kukatia Nyama (Meat Bone Saw Cutting)

  Wanajamii, kwa hapa dar napata wapi mashine yenye ubora ya kukatia nyama kwa ajili ya Biashara ya BUtcher best Kire
 12. Kiresua

  I'm looking for hevy duty quality washing mashine 18k 25-30kg

  Hi all natafuta quality industrial washing mashine kg 18, 25-30kg, nimezunguka nimechoka hapa mjini. any one with any idea, kama naagiza where could I get trusted supplier best
Top