Recent content by kirashy

  1. K

    JamiiForums Tanzania Gari,engene na vifaa vya nyumbani vinauzwa

    nipigie simu au uje uone
  2. K

    JamiiForums Tanzania Gari,engene na vifaa vya nyumbani vinauzwa

    picha haziuzwi kabati la vyombo na vyombo vyake inaanzia laki tano na ishirini,la nguo naanzia na laki nne na themanini.kama una maongezi nipigie.Gari inaanzia na milioni saba na nusu pungufu unaongea
  3. K

    JamiiForums Tanzania Gari,engene na vifaa vya nyumbani vinauzwa

    inaanzia laki saba na nusu pungufu unaongea dada yangu kama unahitaji nipigie simu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Gari,engene na vifaa vya nyumbani vinauzwa

    vitu viko Dar ww kama unahitaji nipigie simu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Gari,engene na vifaa vya nyumbani vinauzwa

    Vitu viko Dar mitaa ya salasala mbuyuni
  6. K

    JamiiForums Tanzania Gari,engene na vifaa vya nyumbani vinauzwa

    kama nitakula 4 kwa escudo milango mitano na wa escudo milango mitatu ale ngapi?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Gari,engene na vifaa vya nyumbani vinauzwa

    Hapana
  8. K

    JamiiForums Tanzania Gari,engene na vifaa vya nyumbani vinauzwa

    Acha utani
  9. K

    JamiiForums Tanzania Gari,engene na vifaa vya nyumbani vinauzwa

    Kilo 15 kampuni ya oryx
  10. K

    JamiiForums Tanzania Gari,engene na vifaa vya nyumbani vinauzwa

    Bei elekezi naanzia na nane pungufu unaongea
  11. K

    JamiiForums Tanzania Gari,engene na vifaa vya nyumbani vinauzwa

    Vitu vifuatavyo vinauzwa:- Gari aina ya Suzuki escudo toleo la mwaka 1995 namba B imetembea KM 258854 7A-FE engine ya carina Baadhi ya spare za carina Vifaa vya nyumbani kama kabati ya nguo,kabati ya vyombo,kabati ya jikoni na mtungi wa gesi,meza ya kiyoo na stuli mbili za kiyoo,magodoro na...
Back
Top Bottom