Recent content by Kiranjajunior

  1. Kiranjajunior

    Tundu Lissu ni clever but not Intelligent person. Ni Kiongozi mwenye papara sana na hana utulivu kabisa

    Wewe tayari umeonyesha upo upande wa dola. "Sana sana nimemsikia akibeza Mahakama zetu za Profesa Juma." Sasa unaposema anabeza mahakama zetu hivi wewe kwa akili za kawaida hata kama kwa bahati mbaya hujawahi kukutana na masaibu ya mahakama zetu kwa maana kwamba hujawahi kuwa na kesi ya...
  2. Kiranjajunior

    Rais wa Zambia Hichilema awasimamisha Kazi Majaji 3 wa Mahakama Kuu.Walikuwa Watoe Hukumu ya Kumruhusu Mpinzani Wake Edger Rungu Kugombea Urais 2026

    Mifano ipo ya kutosha tu mfano kuna Senegal, Ghana na hata huko Kenya mabadiliko ya kiutawala na kisiasa yameleta mabadiliko makubwa tu ni vile kwa sasa sina muda wa kumwelewesha mtu mwenye fikra mgando kama wewe
  3. Kiranjajunior

    Rais wa Zambia Hichilema awasimamisha Kazi Majaji 3 wa Mahakama Kuu.Walikuwa Watoe Hukumu ya Kumruhusu Mpinzani Wake Edger Rungu Kugombea Urais 2026

    Wewe baki na mifano ya watu waliofeli ila mabadiliko ni muhimu. Nakumbuka zamani tulikuwa tunalima kienyeji na wazazi wetu walikuwa waoga kufanya mabadiliko kwenda kwenye kilimo cha kisasa ila tulipoukataa uoga tulifanya mabadiliko na mageuzi na mpaka leo tumetoka kwenye kilimo chakula mpaka...
  4. Kiranjajunior

    Rais wa Zambia Hichilema awasimamisha Kazi Majaji 3 wa Mahakama Kuu.Walikuwa Watoe Hukumu ya Kumruhusu Mpinzani Wake Edger Rungu Kugombea Urais 2026

    Taja huo uzoefu wa nchi nyingine lakini pia na mimi nitakupa mifano ya nchi ambazo baada ya vyama twawala kung'olewa madarakani mabadiliko makubwa ya kila nyanja yalitokea
  5. Kiranjajunior

    Rais wa Zambia Hichilema awasimamisha Kazi Majaji 3 wa Mahakama Kuu.Walikuwa Watoe Hukumu ya Kumruhusu Mpinzani Wake Edger Rungu Kugombea Urais 2026

    Labda usingejifungamanisha na ma CCM tungekuelewa as mtu ambaye uko upande wa wananchi na kwamba unawachukia Sasa mbona umesema ma CCM yasiwaachie madaraka wapinzani na hapo hapo unasema huwapendi wanasiasa, tukueleweje?
  6. Kiranjajunior

    Rais wa Zambia Hichilema awasimamisha Kazi Majaji 3 wa Mahakama Kuu.Walikuwa Watoe Hukumu ya Kumruhusu Mpinzani Wake Edger Rungu Kugombea Urais 2026

    Labda usingejifungamanisha na ma CCM tungekuelewa as mtu ambaye uko upande wa wananchi na kwamba unawachukia wanasiasa. Ila sisi ambao tuna akili ya asili tumeshauelewa unafiki wako na ndio maana umesema CCM wasilogwe wawaachie wapinzani dola. Kama kweli unawachukia wanasiasa je ma CCM si...
  7. Kiranjajunior

    Jeshi la Ukraine lasonga mbele kunyakua ardhi ya Urusi Kursk region

    Wanaposema kuingia ndani kilomita 1300 inamaanisha hivyo hivyo
  8. Kiranjajunior

    Tetesi: Lissu kufukuzwa CHADEMA

    Wajinga hawataisha mpaka ukamilifu wa dahari 🤣
  9. Kiranjajunior

    Hamas yasema haina haja na mazungumzo mapya ya kusitisha vita

    Kwa nini lakini waliwachokoza Israel?
  10. Kiranjajunior

    Urusi kazima ihisi athari za vita- Zelensky

    Mwana kulitafuta mwana kulipata. Ukraine chapa hao wakomunist
  11. Kiranjajunior

    Palestina ni wahanga, Iran na Israel hawachekani, ila Marekani wapewe maua yao

    Elewa kwamba kabla ya vita ya kwanza na ya pili ya dunia USSR ndio dola lilikuwa na nguvu sana duniani pamoja na kwamba Marekani na ulaya magharibi walikuwa washindani. Baada ya wayahudi kwenda kwa wingi Marekani ndio taifa hilo likaanza kutawala kila nyanja.
Back
Top Bottom