Mfuko mtaji wake bilioni 700 , unataka wanunue matrekta , wanunue zana za uvuvi, wanunue ardhi , wafanya kila kitu return yake ni kipindi cha miaka mingapi, wananchi ambao wanawekeza watanufaikaje na hisa zao, ............huu mfuko usimamiwe na nani bunge ama serikali , mgawanyo wa majukmu baina...