Action speak than words.
Hoja mojawapo ni kuwafanya wengi waipende Chadema ukiwemo wewe . Ukikataa basi utakuwa ni mtoto asiye na shukurani hata kwa wazazi wako.
Ni sawa na kusema mzazi wako kukulea si hoja ya msingi
Mpeni mtu heshima yake. Chama akivuruge Magufuli halafu lawama aachiwe Mbowe? Hivi kwa nini watu wakishaingiza ushabiki kwenye mambo wanakuwa tayari kusema shetani ni bora kuliko Yesu?
Lissu mnaemtegemea baada ya uchaguzi wa 2020 alikimbilia ubalozini badala ya kuwa front line ila leo mnamuona...
Kiukweli mimi si miongoni mwenu. Niko free ground. Ila kama si chuki binafsi utakubaliana nami kwamba katika uwezo wa kujenga hoja na kuongea kwa hekima na busara hakuna kama Mbowe
Kiukweli mimi Simo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.