habari ndugu zangu hatimaye ni siku nyingine tena katika dunia hii..mungu atuzidishie afya na kwa wale walio na ugojwa poleni na mungu awajilie afya murejee sawia..
sasa tayri nimepata passport na nimeshiba nimejilaza kwa kitanda cha wageni mishale ya saa 3na 4 hivi pembeni ashtrei inafuka...
habari ndugu yangu natumaini uko njema wa afya, na kama si hivyo polee. kwa jina naitwa ......
Fulani hila kwa sababu ya hili nililoamua kushikilisha adhira sinto tananabaisha kinagaubanga wasifu wangu..huenda walegwa wa hili wakapata nakala hii hiii si hadithi ya kubuniwa wala kutungwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.