Recent content by kipuchu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Filter za maji ya kunywa

    Tulip water filters Zinapatikana Quality Center, Pugu Rd. duka la Destinations ALL LTD, liko jirani na King Furniture. Bei ni TZS 25,000/= per piece. Ukinunua kwa wingi waweza pata discount.
  2. K

    JamiiForums Tanzania PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

    inawezekana polisi walikuwa na kisa na mwandishi huyu wakatumia fursa ya vurugu kutimiza azma yao.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

    It is high time african leaders on behalf of African people wanakaa na kukubaliana juu ya mipaka ya nchi zao bila kutegemea watu kutoka nje kufanya maamuzi hayo kwa niaba yao. tusipolitatua hili ktk zama hizi za scramble for resources tunakalia kuti kavu.
Back
Top Bottom