Nauza PS2, ziko 3. (zimetumika)
Zote zimechipiwa
Zote zina Flash ya GB 8 (zenye game mbili kila moja)
Zote zina Memory Card
Zote zina padi 2
bei ni 150k kwa kila moja.
0769160343 call/whatsapp
unafanya ivi, unachukua tarehe ya kuanza ku bleed, unajumlisha jumla ya mzunguko wako alafu unatoa siku 15, iyo ndio siku uko likely kupata mimba ya mtoto wa kiume, au ukifanya tendo siku 2 au 3 kabla ya siku ya 15 utapata wa kike. mf. unaanza tare 1 ku blead. na una mzunguko wa siku 28...
ninazo ps2 3 zimechipiwa, kila moja ina padi 2 na flash ya gb8 imbayo kila moja ina game 2, nauza 170,000 kila moja, maelewano yapo kama unataka kwa jumla, pia nina tv 3 za nchi 18, nauza 90,000 kila moja. 0787281300 call/whatapp
Niko Arusha, Nauza PS2 ziko tatu, kila moja ina padi 2,tv ya nchi 18, Zote zimechipiwa na zina Flashi ya 8gb kila moja ikiwa na game 2. Bei ni 260,000 kwa kila set moja iliyokamilika. Hotline 0787281300 call/whatapp
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.