Mkuu.
Sisi tuna kumbu kumbu na hawa maadui zetu.
Huyo Gwajima ambae wao wanamuita ni mshenga wao alishawahi kutamka maneno ya ukakasi sana na yenye chuki dhidi ya waislam huku Akisema kwamba eti CAG mpya yule ustadh amenzisha msikiti ndan ya jengo na maneno kibao ya kuudhi.
Leo ndie...
Kama kura za Walutheri woote nyinyi zinatosha kumfanya awe Rais wa Jamhuri ya muungano basi sawa atakuwa.
Msisitizen aendelee kuhimiza waumin wenzake huko makanisani.
Jibu atalipata october 25.
Andaen Ambulance Mapema
Waislam hatuwez muunga mkono sumaye ili hali tunajua alichotufanya pale mwembechai.
Vile vile muislam timam hawez muunga mkono lowasa ili hali anajua alichokifanya kwenye MOU.
Ukawa mmejipakaza mavi wenyewe.
Iman kubwa imepotea baada ya kuwakaribisha hao jamaa wawili lowasa na sumaye...
Kura hazipigwi Jamii Forum Mkuu.
Na sisi hatuwez kumsamehe mtu ambae katugharim maisha yetu kama lowasa na sumaye.
Usiwe na mashaka tukutane october 25.
Tutajua kuwa Rais ni Mlutheri ama laa.
Alieifanya lobying ya MOU ni lowasa na kumzunguka Mwinyi.
Mwinyi amekuja kustuka mambo tayari yalishawekwa kimyani chini ya hadaa ya wazir mkuu kipindi hiko malecela.
Sisi tunajua historia yetu.
Ukawa mmejipaka najis wenyewe kwa kuwambatia Sumaye Na Lowasa.
Tukanen Matusi kisha Tukutane...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.