Recent content by Kipozeo85

  1. K

    JamiiForums Tanzania January Makamba ahojiwa na Jeshi la Polisi kuhusu sakata la Mo Dewji kutekwa

    Kwanini wasingekuja kukulinda badala ya kukuweka lock up? Lock up haiwezi kuwa sehemu ya kuifurahia labda kama unajambo la siri hutaki kuweka wazi.
  2. K

    JamiiForums Tanzania January Makamba ahojiwa na Jeshi la Polisi kuhusu sakata la Mo Dewji kutekwa

    Lema alishaitwa Polisi, ngoja tuendelee kusubiri kifuatacho
  3. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Baadhi ya waliopotea wanahusika na uhalifu

    Kabisa, Kama mtu kachukuliwa na vyombo vya usalama halafu anakuwaje ametoroka??
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Wasanii wafuatao hawaji kuhit kama zamani waachane tu muziki

    Hata mimi ndo maana bado naamini akiacha wenge he is the best
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Wasanii wafuatao hawaji kuhit kama zamani waachane tu muziki

    Kwa Q-Chillah unajidanganya....ile kitu nyingine. Ungeeleweka kama ungeongeza 'kama hawataacha Mawenge'
  6. K

    JamiiForums Tanzania Naishiwa damu kila mara, nifanyeje?!

    Siwezi kusema Kuna uhusiano wa moja kwa moja. Kuvimba hayo manundu ni sign mojawapo kuwa Kuna kitu hakipo sawa kwenye immune system. Nenda cpitali, Kama upo Dar nashauri uende muhimbili
  7. K

    JamiiForums Tanzania Naishiwa damu kila mara, nifanyeje?!

    Pole Sana, kwa maelezo yako unahitaji kufanyiwa uchunguzi/vipimo kwa kina. Ila naamini madktari walipaswa kukuambia tatizo linalosababisha upungufu wa damu unaojirudia. Kitaalamu upungufu wa damu ni matokeo ya tatizo Fulani mwilini ambalo shurti lifahamike. Ila kifupi inaweza ikawa shida ni...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni madaktari

    Mkuu, kiuhalisia ili mimba itungwe sio lazima uone shahawa zimeingia ndani ya uke, unaweza ukafanya mapenzi meanamke akiwa juu ya mwanaume na mimba ikatungwa. Hivyo hiyo Hali ya seamens kutoka ni kawaida. Hapo Kuna tatizo jingine linalosababisha mimba isitungwe. Pia inaweza ni tatizo la...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni madaktari

    Apime UPT kwanza may be amepata miscarriage. Kama UPT negative atumie dawa za kutumia maumivu na aendelee kufuatilia intensity ya hiyo bleeding.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Swali Fikirishi: Je, Zitto hakuiona 1.1T ya mwaka 2015/16 na zile dividend za NMB zilizojirudia miaka 3?

    Umeulizwa kubakwa na sio kukabwa.......
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mobistock wakala

    Salio unaongezaje? Na wapi unaongeza? Bank? Kwako? au kwa mpesa au tigo pesa
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mobistock wakala

    Salio unaongezaje? Na wapi unaongeza? Bank? Kwako? au kwa mpesa au tigo pesa
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hatua nne za ukaguzi unaofanywa na CAG kwa mujibu wa Dk.Marcosy Albanie

    Ubashiri mzuri
  14. K

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz na Ali Kiba wakutana mubashara kwenye msiba wa Masogange na kupeana mikono

    Mkuu, hivi mtu akikupa mkono mmoja na wewe ukampa miwili ina maanisha Nini? Punguza mihemko
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG ni ngumu! inaweza kuzua makubwa yasiyotarajiwa, bado mbichi mno!

    Sina hakika Kama wapo salama, ila ukimsikiliza yule Mama, Kama hataingiliwa atatusaidia Sana. Hajawa biased na uchama, hamung'unyi maneno. Tofauti na zwazwa Chekeleni, snayejiita wa PIC
Back
Top Bottom