Umetambulishwa rasmi kwenye lebo ya mwanamuziki anayejiita King tangu Oktoba 2018 leo unakuja kuzidiwa umaarufu na idadi ya mashabiki na msanii (tena wa kike) aliyetambulishwa ndani ya wiki moja iliyopita kwenye lebo nyingine halafu usiondoke kwenye hiyo lebo ya King uliyopo?
Yani toka...
Kala hakushida BSS. Alifanikiaa kuingia Tano Bora tu. Mshindi wa BSS mwaka alioshiriki Kala anaitwa Misoji Nkwabi. Mshindi wa pili alikuwa Rogers Lucas.
Diamond ametuletea msanii gani? Yani haka kasichana kanakoitwa Zuchu kweli ndio kaje kushindana kwenye hili soko lenye waimbaji mahiri wa kike kama Nandy, Ruby, Maua Sama, Vanessa, Jide na wakali wengine wa kike wa hapa bongo? Kweli? Kwa sauti ile? Pengine kwa kuwa ni mtoto wa yule mama ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.