Recent content by Kipochi manyoya

  1. K

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

    Bila samahani... Rejea kichwa Cha habari hapo just Asante...
  2. K

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

    Karibu tujifunze mkuu
  3. K

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

    Asante kwa support ya huu uzi
  4. K

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

    Aya sawa... ila nitajibu ninayoyaweza mkuu
  5. K

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

    Ninavyojua Mimi unalipwa kulingana na matangazo yatakayopita kwenye video zako
  6. K

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

    Lakini pia Nilikuwa offline...
  7. K

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

    Njia zipo nyingi but hii inakuhitaji uandike kichwa Cha habari kinachovutia mtazamaji (tittle), maelezo muhimu kuusu video (description), pamoja na add tags
  8. K

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

    Youtube itakuhesabia na kukulipa tu kutokana na jinsi watu wanaoangalia video zako wanavyo kutana na kuintaract na matangazo ya Google Adsense mfano, utahesabiwa pindi watazamaji wako watakavyo amua kubofya matangazo yanayoonekana katika video zako.
  9. K

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

    Ndo maana nikaandika kwa biginer au mzoefu so weee uliza ili anaejua atakujibu
  10. K

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

    it includes video tittle, tag, caption, description, thumbnail...
  11. K

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

    Uzi huu maalumu kwa wote wanaoanza(beginner) pamoja na waliopata uzoefu wa video marketing kupitia YouTube channel . . #Tittle #description #thumbnail #Tags #Cards
Back
Top Bottom