nachoweza kusema ni kwamba hili ni jambo zuri sana katika historia ya Tanzania ns pia huu muungano ningependa ata bung lijalo wabunge wa upinzani wawe kitu kimoja! Safi sana ukombozi wa kweli umekaribia.
Ni kweli bwana tupa tupa wambie hawa wanaofanya chama dume kama walishindwa kutengeza chama kabla nyerere hajafa wataweza saiz wakati chama kimeshaoza jumla?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.