Recent content by kipeta singo

  1. kipeta singo

    Madereva wa it

    Naomba kuuliza hili jambo miaka kadhaa imepita watu waliwahi kuuliza connection za kupata ajira za kusafirisha magari nchi jirani maarufu kama IT lakini hakuna mrejesho je ni kwamba hizi kazi hazipatikani moja kwa moja nchini au watoa connection wamekua wachoyo kwa upande huu?
  2. kipeta singo

    Dereva wa kukodi napatikana

    Ngoja nitembee na upepo mimi pia ni dere wa kuaminika kabisa 0746590147
  3. kipeta singo

    Msimu wa maembe umefika, soko nalipataje?

    Kuna bolibo dodo na apple
  4. kipeta singo

    Msimu wa maembe umefika, soko nalipataje?

    Mzigo upo kibaha kama unahitaji nimekuwekea namba za cm apo tuwasiliane
  5. kipeta singo

    Msimu wa maembe umefika, soko nalipataje?

    Kwa wakulima wenzangu msimu wa maembe umewadia changamoto kwa sasa ni soko linapatikanaje. Kwa yoyote mwenye kujua soko la uhakika tafadhari naomba tujulishane au kama unahitaji embe kwa bei ya jumla utazifata shambani Kibaha. Nitafute kwa wasap 0746590147 tufanye biashara
Back
Top Bottom