Recent content by kipepeo mweusi

  1. kipepeo mweusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yafuatayo ni majina yenye bahati,mvuto na hodari 100% ktk suala zima la ndoa na sexy pia

    Mtoa mada hiyo ni kwa imani yako na mtazamo wako...mbona kuna watu wana majina tofaut na hayo na tunaona wana success kweny kila sekta?! utafiti wako uliufanya wakati gani!!? au ni outcome ya ndoto nyevu nini...hahaa
  2. kipepeo mweusi

    JamiiForums Tanzania GE2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

    Mkuu Dike, magufuli ana akili ndio maana na hana udini
  3. kipepeo mweusi

    JamiiForums Tanzania Ni mmoja wao Dkt. Magufuli, Membe na jaji Ramadhani

    Sipati picha yule jamaa aliyesema anatangaza rasmi kumdharau January Makamba kutokana na kauli flani flani alizoto cjui atakuwa amejiskiaje maskini baada ya kuona huyoo kwenye tano bora yumo..dah
  4. kipepeo mweusi

    JamiiForums Tanzania Ni mmoja wao Dkt. Magufuli, Membe na jaji Ramadhani

    Mkubali mkatae magufuli sio mchafu sana kama hao wengine...
  5. kipepeo mweusi

    JamiiForums Tanzania Baada kukatwa, atatangaza mali zake na kuhamia ACT?

    Mimi nimependa Mchapakazi bora kuingia 5 Bora...impressive!!
  6. kipepeo mweusi

    JamiiForums Tanzania Baada kukatwa, atatangaza mali zake na kuhamia ACT?

    Nimecheka sanaaa
  7. kipepeo mweusi

    JamiiForums Tanzania Baada kukatwa, atatangaza mali zake na kuhamia ACT?

    Akafie mbele kule mzee gan hata busara hana..mfyuuuu
  8. kipepeo mweusi

    JamiiForums Tanzania Baada kukatwa, atatangaza mali zake na kuhamia ACT?

    Hahahaa
  9. kipepeo mweusi

    JamiiForums Tanzania Ni mmoja wao Dkt. Magufuli, Membe na jaji Ramadhani

    issawema Wampe tu Magufuli...yuko vizuri yule
  10. kipepeo mweusi

    JamiiForums Tanzania Ni mmoja wao Dkt. Magufuli, Membe na jaji Ramadhani

    Mkuu binafsi namkubali sana magufuli, anaweza kazi...anajituma.
  11. kipepeo mweusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho wageni kutoka Kijijini: Sabasaba yangu imevurugika

    We mmama kuwa mstaarabu...kwani wewe ni admin humu ndani??!! usitake kupanda watu kichwani, thread zako za mapenzi weee ndio za ukweli sio? wenzio wanaotoa thread zao ni waongo humu ndani wamezitunga sio?? jaribu kujiheshimu huwezi kutoa ushauri pita huku unakimbia..mfyuuuuuu
  12. kipepeo mweusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho wageni kutoka Kijijini: Sabasaba yangu imevurugika

    beauty for real Aisee hatari
  13. kipepeo mweusi

    JamiiForums Tanzania RPC Dodoma: Asiyekuwa na Kazi maalum wiki hii Dodoma, asikanyage

    Mwishowe tutaambiwa tusitoke majumbani mwetu kabisa tujifungie ndani...maana huko tunakoelekea ndio pabaya zaidi ya sasa...kwa namna hii maendelea tutayaskia kwenye redio tu na kuyatizama runingani...Tanzania oyee!! bullshit
  14. kipepeo mweusi

    JamiiForums Tanzania RPC Dodoma: Asiyekuwa na Kazi maalum wiki hii Dodoma, asikanyage

    Mkuu kwa inavyoonyesha itakuwa mwanzoni alifanya makosa..hahahaa
Back
Top Bottom