Recent content by kiparah

  1. K

    Msaaada tafadhali

    naombeni mnasaidie kwa ili nilimalizA kidato cha 6 nikafeli nikajarbu kusoma uandish nikishndwa kumaliza kwa sababu ya ukosefu wa ada kwa sasa nahangaika mtaaani ila nna kipaji cha utangazaji bt nikiomba kaz certificate inagomba pia naweza fanya u mceee kwenye masherehe #ushauri plz
  2. K

    Kafulila awalipua mawaziri akaunti ya Escrow

    Hatari sana,watu wamenyimwa mihanya ya kupata hela kupitia wizara hakuna,sasa kinachofanyika ni kuichafua wizara na watu wake.
  3. K

    Kafulila awalipua mawaziri akaunti ya Escrow

    ndugu vipi tena tumekuja kutishana humu au?mpuuzi ni wewe husiejua kitu,unatetea vitu ambavyo huvijui na sidhani kama umesoma japo kidogo historia ya IPTL NA ESCROW ilivyotokea,ungejua wala usingekuja kubishana humu,otherwise uwe umetuma labda na hupo kwaajili ya kuchumia tumbo.pole sana kijana...
  4. K

    Kafulila awalipua mawaziri akaunti ya Escrow

    Hivi ndugu umelifuatilia kweli na kwausahihi suala hili la iptl na escrow?kama ungelifuatilia bila shaka ungekaa pembeni mwenyewe wala usingeumiza kichwa chako kumuunga mkono kafulila wenu huyo,kinachofanyika ndugu ni hao watu wahovu na mafisadi kumtumia kafulila kwa malipo maalum ili kuichafua...
  5. K

    Kafulila awalipua mawaziri akaunti ya Escrow

    kafulila ndivyo alivyokutuma siyo?bora utumwa wa kujituma kuliko utumwa wa kutumiwa.pole weeh...wajinga ndio waliwao.
  6. K

    IPTL/PAP: Hatuna kesi na TANESCO

    Imemsaidia nini sasa pamoja kusema kwake huko?kafulila anajua mchezo msima pamoja na matokeo yake, Kafulila anafahamu kuwa iptl ndio kampuni pekee iliyookoa fedha za watanzania kwenye nishati kwasababu ya kuwauzia umeme kwa bei nafuu kuliko kampuni anayoipigia debe na iliyomtuma kuichafua...
  7. K

    Kafulila awalipua mawaziri akaunti ya Escrow

    wanaolalamika kwamba PAP/IPTL imelipwa kwa makosa wao ndio wanafanya makosa ya kupotosha ukweli wa suala hilo au labda waeleze kwamba Standard Chartered ni Shirika la Umma.
  8. K

  9. K

    IPTL/PAP: Hatuna kesi na TANESCO

    Haya bhana,lakini kumbuka mtu akikamatwa na kitu cha wizi na yeye ni mwizi,sasa kama kafulila amepewa hizo fedha za wizi ama zakifisadi basi na yeye ni mwizi ama fisadi kwa maana na yeye ameshiriki vitendo hivyo vihovu.
  10. K

    IPTL/PAP: Hatuna kesi na TANESCO

    Nyie mnaolalamika kwamba PAP/IPTL imelipwa kwa makosa ndio mnaofanya makosa ya kupotosha ukweli wa suala hili au labda mueleze kwamba Standard Chartered ni Shirika la Umma ndio mueleweke kwa jamii.
  11. K

    IPTL/PAP: Hatuna kesi na TANESCO

    wanaolalamika kwamba PAP/IPTL imelipwa kwa makosa wao ndio wanafanya makosa ya kupotosha ukweli wa suala hilo au labda waeleze kwamba Standard Chartered ni Shirika la Umma.
  12. K

  13. K

    IPTL/PAP: Hatuna kesi na TANESCO

    hata hivyo naimani umeelewa tu nini namaanisha juu ya hilo,kafulila mwenzio chakua 90milion kutoka kwa hao mafisadi,wewe umechukua ngapi ndugu?
  14. K

    IPTL/PAP: Hatuna kesi na TANESCO

    sasa anayetumika ni nani zaidi ya kafulila kwenye hili suala la iptl na escrow?muulize vizuri kafulila hizo hela alizopewa na mafisadi ni za kazi gani?kama siyo za kazi ya kuichafua wizara ya nishati na madili pamoja na watumishi wake?
Back
Top Bottom