Recent content by Kinyoki

  1. K

    Spika aongezewa ulinzi

    Amebadilishiwa namba za gari ili kujificha!
  2. K

    Spika aongezewa ulinzi

    SPIKA wa Bunge, Anne Makinda ameongezewa ulinzi pamoja na kubadilishiwa namba za gari analotumia kutokana na vitisho anavyovipata kutoka kwa wananchi ambao wamekuwa wakimtumia ujumbe wa simu. Taarifa ambazo Mwananchi imezipata zinaeleza kuwa hatua hiyo...
  3. K

    Mkuu wa wilaya ya Lushoto ni vituko kila kukicha

    Vyanzo vya habari kutoka Lushoto vinasema kuwa pia Afisa Afya Mazingira (Bwana Afya) nae aliwekwa ndani pamoja na Mganga Mkuu (W)
Back
Top Bottom