Recent content by KINYASHI 1010

  1. K

    Biashara ya kutengeneza na kuuza, ndio itakayo timiza ndoto zako

    kila mtu na bahati yake ndugu zanguni kila biashara inalipa mambo ya hii serikari ni toka enzi na mifumo ni hiyohiyo tu ukiiogopa huwez fanya kitu hata HUYO MULOKOZI ashafanya biashara kibao zakagoma we umefanya ngapi kama ela unayo wekeza huwezi jua
  2. K

    Naomba msaada wa kazi yoyote

    nitafanya hivo ndugu
  3. K

    Naomba msaada wa kazi yoyote

    napatikana dar es salaam, mbagara kaka
  4. K

    Naomba msaada wa kazi yoyote

    namba yangu ni 0625839503
  5. K

    Naomba msaada wa kazi yoyote

    Habari wana JF, Nina shida na kazi yoyote. Mimi ni kijana wa miaka 25 nimefanikiwa kufika form six, changamoto ya ada ikanifanya niishie mwaka wa kwanza MBEYA UNIVERSITY (MUST) nataman kuludi shule lakini mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe kwa sasa naombeni kazi yoyote na MUNGU...
Back
Top Bottom