Hana haja yeye binafsi kwanza kujua mambo hayo unayofikiri wewe kwamba hayajui,kwani angekuwa na dhamira ya dhati ya kufahamu wananchi wana matatizo yapi angeshafahamu na yaliyostahili kupata ufumbuzi yangeshapata,ila kwa vile ofisi yake ipo uwanja wa ndege na wananchi anaowatumikia ni mataifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.