Recent content by Kiny

  1. K

    House4Sale Kubadilishana nyumba / kiwanja kwa Gari

    Sold
  2. K

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa nyegezi Mwanza

    Inawezekanaje hizo mita za mraba 555?
  3. K

    Car4Sale Kirikuu (Suzuki carry) DLK inauzwa Tsh 3,900,000/=

    Pole rafiki kwa Lwamgasa ingekuwa rahisi sana kuja
  4. K

    Car4Sale Kirikuu (Suzuki carry) DLK inauzwa Tsh 3,900,000/=

    Hiyo whèel spanner ni sehemu ya gari, maana yake ukiinunua gari na wheel spanner unapewa kwa ajili ya safari pia ukizingatia hii ni gari ya mizigo, tyre ni mpya lakini unaweza kutana na msumari pia barabarani
  5. K

    Car4Sale Kirikuu (Suzuki carry) DLK inauzwa Tsh 3,900,000/=

    Asante boss , Mungu akubariki pia kwa dua zako
  6. K

    Car4Sale Kirikuu (Suzuki carry) DLK inauzwa Tsh 3,900,000/=

    Habari wana JF Ninauza Gari langu aina ya Suzuki Carry/ kirikuu , Gari ni nzuri sana haina shida yoyote , inaendeshwa na kufika mkoa wowote , haijawai kufunguliwa engine wala gear box. Ina mwonekano mzuri sana (mint condition), ina AC na tyre zote ni mpya zina miezi 2 tangu ziwekwe. Kwa...
  7. K

    INAUZWA Natafuta cabin (kichwa) cha mitsubish canter mayai ndogo

    Hi JF Natafuta cabin / kichwa cha mitsubish canter kwa ajili ya kurekebisha gari yangu canter tipper iliyopata ajali. Sifa za cabin. Iwe ni ya canter mayai siyo box Iwe na dash body complete isiyochakaa Rangi yoyote inakubalika. Cabin iwe complete yani ina kioo na milango iliyokamilika. Bei ni...
  8. K

    Car4Sale Tunafanya Biashara ya kuuza na kununua magari, mapya na yaliyotumika Tanzania

    Ipo milioni 10 cash kama uko tayari nicheck tufanye biashara 0756200028
  9. K

    Car4Sale Magari mbalimbali mazuri yanayouzwa leo

    Natafuta Toyota Rush bajeti 10M
  10. K

    Natafuta shamba au kiwanja Mwanza/ Sengerema

    Natafuta kiwanja au shamba eneo la Busisi / Kigongo feli Mwanza au upande wa kuelekea Sengerema. Eneo liwe barabarani Ukubwa wowote kuanzia nusu hekari hadi hekari 2. -Eneo liwe barabarani linaweza kuwa na hati au halina. -Linaweza kuwa limepimwa au halijapimwa. Uaminifu ni muhimu malipo...
  11. K

    INAUZWA Tank za kutunzia mafuta petrol au Diesel (underground tanks)

    Natafuta matank ambayo hutumika kuifadhia mafuta kama petrol , diesel au mafuta ya taa. Unaweza kuwa nayo wewe, rafiki yako, jirani au sehemu yoyote unayojua naomba uniunganishe, yanaweza kuwa sehemu ilipowai kubomolewa sheli (petrol station) ,, au mtu alipanga kujenga sheli badae akahairisha...
  12. K

    Tunauza vitu vya ndani used; tunapatikana Jijini Mwanza

    Kula 50,000 hili kabati tumalize biashara
  13. K

    JamiiForums inavyobadilisha maisha yangu kwa kunipa wazo la (THD)

    Hongera sana kijana kwa kubuni hili ni wazo zuri sana keep it up. Ushauri wangu siku hizi kuna matapeli wengi jambo ambalo linafanya biashara nyingi au mawazo ya biashara kufail hivyo jitaidi sana kuwa mwaminifu na kuwafundisha vijana wako kuwa na uaminfu wa hali ya juu sana, kwani likitokea...
  14. K

    Jipatie Malori used kutoka japan(Fuso & Canter)

    Boss hiyo canter tipper Box unauza ngapi
  15. K

    Mwanasheria anatafutwa Moshi/Arusha

    Asante mkuu nitamtafuta
Back
Top Bottom