Asante kwa swali zuri, power means electrical so in area of networking we have routing and switching instead of power and switching. so kwa course ya power and switching system duration yake ni wiki 7 ambayo imejumuisha classroom training + soft Lab + Physical device Lab. na bei yake ni Tsh...
Ada zetu kwa course ya cisco (CCNA ni Tsh 600,000/=) na kwa ORACLE database ni Tsh 600,000/=. na bei ya mtihani ni USD 350 kama ukisoma hapa kwetu. Kwa mtu ambaye hajasoma kwetu pia bei yake ni USD 350 lakini gharama hii inakua bila supervision kabla ya mtihani, ukitaka kuwa na supervisor...
mawasiliano yetu ni: +255 629 082918, +255 675217012, +255 768 012826
email: sales@kinoteltz.com
Pia kama tunaweza kuapata mawasiliano yako kwaajili ya maelezo zaidi. Karibu sana
Kwa course za hizo zinahitaji uwe na angalau certificate ya mambo ya ICT. Au pia kwa course ya CISCO kama mtu hana knowledge na mambo ya networking kuna course ambazo ataanza nazo ambazo ni CCNT1 na CCNT2, ambapo akimaliza hapo anakua na elimu ya networking sawa na level ya CCNA.
we provide training in CISCO course such as Cisco Certified Network Associate(CCNA) & Cisco certified Network Professional (CCNP). We have a quality & effective CISCO laboratory which cover all areas of learning. We also provide other course such as CISA, Ethical hacking, Oracle and Linux.
we provide training in CISCO course such as Cisco Certified Network Associate(CCNA) & Cisco certified Network Professional (CCNP). We have a quality & effective CISCO laboratory which cover all areas of learning.
We also provide other course such as CISA, Ethical hacking, Oracle and Linux. Our...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.