Recent content by kinoJR

  1. K

    Kinachoendelea Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024

    Sawa Ila ijumaa ijayo wenzako wanaanza mafunzo
  2. K

    Kinachoendelea Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024

    Yametoka kitambo na leo watu ndo wanafanya huo usaili
  3. K

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Watu wa civil na architecture Kuna mikazi kama yote uko. Nendeni mukaongeze received
  4. K

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Shukrani mkuu Kwaio haina toufati sana na ile written ya kitambo ya kwenda Dodoma ? Nilikuwa nahisi labda hii aptitude test itakuwa na maswali mchanganyiko (hesabu, ya kijamii, ya darasani na Yale yakuchangamsha akili)
  5. K

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Acha wenge wewe ! Nauliza kingine unakuja na mada zako, ingia kwenye account yako uone.
  6. K

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Habari wakuu Vipi maswali yao ya UTUMISHI ya mfumo mpya (online test) huwa wanabase wapi
  7. K

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    IT keshafanya yake ukoo
  8. K

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    NJAA YAKO ILIYOTUMBONI, JITAHIDI KUIZUIA ISIHAMIE KICHWANI. . !
  9. K

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    We acha tu kaka daaah. !
  10. K

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Sio poa aisee, huyu subira wangu kavuta kheri weee sasa naona kabisa anaenda kuvuta bangi. . !
  11. K

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mechanical Engineer nipo apa aisee sio poa, nataka nikasome civil tu maana wanaupiga mwingi🤣
  12. K

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kweli wewe SIMBA MLEVI Maneno huumba jamani🤣
  13. K

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    ili kujiona vizuri ungejipiga na selfie kabisa
Back
Top Bottom