Mtoa mada kwa hoja zako unalinganisha vitu visivyofanana na hii inanipa mashaka na uelewa wako wa madaa. Umekurupuka na maelezo marefu yasiyo na uwiano. Kifupi serikali haina dini.
Mambo ya dini tuwaachie wenye dini, serikali ijenge barabara na yanayoihusu. Tanzania sio ya waislam peke yao...
mfuasi kz4 nawe tapeli tu kama munuo mwenzio alikuwa mshirika wa wajenzi huru ubini wa yesu kaupata wapi? Afterall aliwahi kusema na kaandika kwenye moja ya vitabu vyake kuwa yesu hakufanya vizuri sana. Wewe unampa ubini wa jina alilolikataa akiwa hai. Umeingia choo cha kike, hakuwa na mungu...
Ndugu yangu hawa wengine kama marehemu ni wachumia tumbo tu na ndio maana kila leo wanabadili majina kisa hawataki wafuasi wazoelee jina moja. Saikolojia mgeni sio rahisi kumzoea haraka. Elia alikuwa tapeli tu, eti sasa watetezi wake wanamtetea kuwa alikuwa anajiita kwa ubini wa adamu wa pili...
Alikuwa hatibiwi mbona dawa za maiti alichomwa, na kwenye friji akawekwa, hawa watu ni hatari sana, waongo balaaa. Mungu wa majeshi aliyekuja kuvunja ndoa za watu aswalalee.
Hakuja maajabu hapo hii kitu ni ya kawaida kabisa wakati wa majira haya na inajulikana kwa jina la SUNDOGS angalieni mtaona picha kibao mtandaoni. Hawa hata kimbunga au Tsunami ingetokea wangesema ni nabii. Labda waniambie kwenye hayo matukio mengine (sundogs za mtandaoni) ndio ELIA alikuwa...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.