Recent content by kinje ketile

  1. K

    JamiiForums Tanzania FT: Young Africans SC 1-0 Geita Gold FC | NBC Premier league | KMC Complex | 15.09.2026

    Ukisikia 'roho mkononi' ndo hii sasa... Ukisikia ' Wameshinda Lkn hakuna furaha...ndo hiki kinachotokea.. Ukisikia ' Kukaliwa kooni' ndo mfano huu hapa... Afu Kocha analitaka Kombe La CAF CL kwa timu hii..... haya ni maajabu
  2. K

    JamiiForums Tanzania FT: Young Africans SC 1-0 Geita Gold FC | NBC Premier league | KMC Complex | 15.09.2026

    Timu ndogo ni ndogo tu. Wanashindwa kutumia numerical advantage!
  3. K

    JamiiForums Tanzania FT: Match day; Simba SC 1-0 Coastal Union | Ligi Kuu NBC | 1:00 Usiku

    Kwani updates imekuwa nongwa.? Hamtaki tujue nani kaukalia huko..!
  4. K

    JamiiForums Tanzania FT: Match day; Simba SC 1-0 Coastal Union | Ligi Kuu NBC | 1:00 Usiku

    Bado wamekibana kipenyo? Natabiri watakibana wee, Mwisho wataachia.!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Full Time: Mashujaa FC 0-2 Yanga SC | Ligi Kuu ya NBC l Lake Tanganyika | 13.6.2026

    Wachezaji wote timua...hakuna mchezaji pale Yanga... hata vitimu vidogo mtu unastrago..!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Full Time | Senegal 1-1 Tanzania | TotalEnergies AFCON U-17 | Senegal Mabigwa baada ya mikwaju ya penati 4-2

    Duh, Leo Mbegu ukuta anaumiliki. Aerial balls, Open spaces, One Vi one zote anawin... ni hazina Kwa Taifa..
  7. K

    JamiiForums Tanzania Full Time | Senegal 1-1 Tanzania | TotalEnergies AFCON U-17 | Senegal Mabigwa baada ya mikwaju ya penati 4-2

    Huyu Mbegu Sijamuelewa... Mbegu..? Ni yule wa Simba?
  8. K

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 1 - 0 Dodoma Jiji | Uwanja wa KMC, Mei 24, 2026

    Ubingwa baba.! Mechi nne au Tano mkononi sio ndogo..Lolote linaweza kutokea ukizingatia Anayeongoza ana beki kama Mwamnyeto na dogo fupi kama Yao yao
  9. K

    JamiiForums Tanzania Loemba, Duchu na Selemani Mwalimu.! Mmepigaje pale.

    Gari Limewaka, Mechi hii Ya Simba na TRA imeleta mtazamo tofauti. Sasa zote zina hofu kukutana na Simba. TRA kutoka kumfunga Azam bao 4,halafu naye akubali kipigo cha nne bila, inaogopesha
  10. K

    JamiiForums Tanzania Simba SC 3 - 1 Dodoma Jiji FC : CRDB Confederation Cup : 12/4/2026 Sheikh Amri Abeid Arusha

    Play station, mpira unatafutwa kwa tochi. Hizi ni adhabu mbili kwa DFC
  11. K

    JamiiForums Tanzania Simba SC 3 - 1 Dodoma Jiji FC : CRDB Confederation Cup : 12/4/2026 Sheikh Amri Abeid Arusha

    Baada Ya Kubana, sasa Wanaachia. Dk 60 SSC 2 - 1 DFC
  12. K

    JamiiForums Tanzania Full Time: NBC PL | Yanga SC 3-0 Prisons | KMC Complex | 04/04/2026

    Apigwe tu, hamna namna...! Kwani nani alimtuma asajili wazee na magarasa? Acha adundwe!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Dah Dube nae anatoka mapema hawezi kuendelea..Naona wamewapiga kimbola wachezaji sasa aisee...

    Arajiga asipochezesha mechi za Yanga, Yanga anadondosha points
Back
Top Bottom